Paul Kimiti akiri kuhujumu Katiba ya Joseph Sinde Warioba

Wazee wa aina hii, ni wakuchoma tu na moto wa gas
Hapana umri nao ni tatizo. Mzee alikulia kwenye mazingira ya Nyerere ambae aliwakaririsha bila Muungano Waarabu watarudi Zanzibar. Mzee hakujuwa Waarabu watarudi na safari hii sasa watapitia bandari za huku bara.

Moja ya kero za muungano ni unequal distribution of national cake, kwa sasa zimetulia kwasababu maRais wote wawili wanaongea lugha moja kuhusu Wazanzibar na mapato wanayoyapata sasa hivi kutoka bara ni ya kujichotea. Subiri muda ukifikika Wabara wakishitukia utaanza kusikia kelele toka upande wa pili. Chako chetu, chetu ni chetu wenyewe.
 
Anafukuzia kaukuu fulani kwenye mabodi fulani fulani maana huku Rukwa kuna baridi sana inabidi watu tuvae makoti na tai kila mara !!

Amesahaulika sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…