- Thread starter
- #81
Mazee kama haya ni mahafidhina sana siyo rahisi kubadilika!Labda inafaa kwa sasa, ndio maana amekiri kosa lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazee kama haya ni mahafidhina sana siyo rahisi kubadilika!Labda inafaa kwa sasa, ndio maana amekiri kosa lake.
Yale yalikuwa maoni ya wananchi lakini CCM wakayatupilia mbali!Naamini muungano wa sasa ni mbovu kuliko uliopendekezwa na Tume ya warioba kwa sababu pande zote mbili zinakosa haki iliyokamilika.Aidha,toka tumeungana hakujatokea nchi jirani Afrika kuiga muungano huu; jambo linaloashiria madhaifu yaliopo.Tafuteni maoni ya wanan chi muone!
Bila shaka!Nyie ni Wahenga.
Wote ni mapandikizi!Na aliyekuwa makamu wa BMK ambaye mchakato ulipoishia anaujua kwanini atoe tena miaka 3 ya elimu ya katiba mpya?hii inadhihirisha kuwa Kimiti hakuwa peke ake.
Mzee wa fursa !Yumkini anajuta au anawakumbusha wenzake yeye ndiye aliyekwamisha ule mchakato kwa maslahi ya chama chao, naona anatafuta japo uenyekiti wa bodi.
Kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni.....!!! unaongea kama hukuwepo kipindi cha utawala wa Magufuli akitumia vijana wake kama akina Makonda, Sabaya na task force ya wasiojulikana?walosisa bunge la katiba, hawakua wangwana kwao wenyewe binafsi, na kwa wanainchi kama ambavyo pia unaonyesha ungwana wakao kufifia kwa tone, rythm na style ya reply yako inavyo jieleza....
na hicho ndicho kinasababisha wTz kuchelewa kupiga hatua kwa haraka, bila sababu za msingi,
wakati iko bayana na dhahiri, shahiri kwamba unae msusia au kumziria yuko determined na yuko focused kuwatumikia na kuwahudumia wanainchi, ukadhani ataacha hiyo kazi muhimu sana na ati ababaike na wewe mwenye msimamo wako wa kulazimisha, ambao sio tu hauwezekani lakini pia hautekelezeki....
kila moja ana haki, na yuko huru kutoa maoni na mtazamo wake juu ya mambo mblilmbali bila kujali wengine wana maoni gani dhidi ya mambo hayo hayo....
hakuna kushurutishana, kulazimishana wala kutukanana kwa sabababu ya utofauti wa maoni na mtazamo...
Hata hao unaowasema kususia bunge kwa kutokukubaliana na maamuzi ya yasiyo kuwa na tija kwa wananchi, bado hayo maamuzi yakishapitishwa kwa wingi wa kura yanakuwa maamuzi ya Bunge zima siyo ya wale tu waliokubaliana nayo.Kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni.....!!! unaongea kama hukuwepo kipindi cha utawala wa Magufuli akitumia vijana wake kama akina Makonda, Sabaya na task force ya wasiojulikana?
Kwa mzee Kimiti swala si kutoa maoni, tatizo hayo maoni kayatolea wapi na yeye alikuwa kwenye tume ipi. Kuna kitu kinaitwa "collective responsibility" sijuhi mwenzetu kinakupiga chenga?
Hata hao unaowasema kususia bunge kwa kutokukubaliana na maamuzi ya yasiyo kuwa na tija kwa wananchi, bado hayo maamuzi yakishapitishwa kwa wingi wa kura yanakuwa maamuzi ya Bunge zima siyo ya wale tu waliokubaliana nayo. Ni bahati mbaya mlikaririshwa na dikiteta Magufuli kwa kauli za "wabunge wenu walikataa kupitisha budget hivyo siwaletei maendeleo". No sense, walipa kodi ni wananchi wote bila kujali wanaongozwa na mbunge wa chama gani. Si kila budget hata kama haina maslahi kwa taifa ipitishwe kisa tu imeletwa bungeni. Nyie vijana mnahitaji elimu ya siasa.
Ninachokushangaa wewe ni kukubaliana na Kimiti kwa kile alichokifanya nje ya tume ya Warioba. Tungesema kwamba hakujuwa, lakini huyu mzee amekuwa kwenye baraza la mawaziri muda mrefu. Si kwamba huwa kila mtu kule anakubali na kila jambo, lakini baada ya maamuzi huwa wanabanwa na kile nilichokwambia "collective responsibility". Nitaendelea kumshangaa kwa kuigeuka tume ambayo yeye alikuwa mjumbe.Hata hao unaowasema kususia bunge kwa kutokukubaliana na maamuzi ya yasiyo kuwa na tija kwa wananchi, bado hayo maamuzi yakishapitishwa kwa wingi wa kura yanakuwa maamuzi ya Bunge zima siyo ya wale tu waliokubaliana nayo.
😀sasa uanababaika na nini na mtu ambaye hakubaliani na wewe kwenye jambo fulani, hali ya kua unajua fika baadae jambo lile mnalotofautiana linakua la wananinchi na nyinyi wote?..
wewe unaelewa kabisa mambao jinsi yanavyopaswa kua lakini, nadhani umeamua tu kinuchatisha kujifurahisha.......
Mzee Warioba alisema '' tulijadiliana na kubishana kwa muda mrefu hadi tulipopata suluhu''Ninachokushangaa wewe ni kukubaliana na Kimiti kwa kile alichokifanya nje ya tume ya Warioba. Tungesema kwamba hakujuwa, lakini huyu mzee amekuwa kwenye baraza la mawaziri muda mrefu. Si kwamba huwa kila mtu kule anakubali na kila jambo, lakini baada ya maamuzi huwa wanabanwa na kile nilichokwambia "collective responsibility". Nitaendelea kumshangaa kwa kuigeuka tume ambayo yeye alikuwa mjumbe.
we ninachokiona kwako sasa ni kulazimisha au kutaka mawazo na maoni ya huyo mzee yawe samabamaba na maoni na mtazamo wako na pengine wa chama chako kitu ambacho si sawa na hakiwezekani....Ninachokushangaa wewe ni kukubaliana na Kimiti kwa kile alichokifanya nje ya tume ya Warioba. Tungesema kwamba hakujuwa, lakini huyu mzee amekuwa kwenye baraza la mawaziri muda mrefu. Si kwamba huwa kila mtu kule anakubali na kila jambo, lakini baada ya maamuzi huwa wanabanwa na kile nilichokwambia "collective responsibility". Nitaendelea kumshangaa kwa kuigeuka tume ambayo yeye alikuwa mjumbe.
Hongereni wakuu, tunahitaji busara zenu humu, msitutenge sana.Bila shaka!
relax bas,Mzee Warioba alisema '' tulijadiliana na kubishana kwa muda mrefu hadi tulipopata suluhu''
Paul Kimiti ni mnafiki mkubwa. Alikuwemo ndani ya Tume na hakueleza chochote. Miaka zaidi ya 10 ndipo anatoka na kutueleza alikuwa ''snitch'! Huyu mzee kajivunjia heshima sana
Kilichotoka ndani ya Tume ni makubaliano ya pamoja kwa maana unapata na pia unapoteza ili kufikia muafaka
Kimiti anaposema kulikuwa na dalili za kuvunja Muungano ni Unafiki na uongo kwasababu hizi
Warioba( PM na VP), Salim Ahmed( PM), Mzee Butiku (Katibu wa Nyerere) waliridhia na walitoka kutetea walichokifanya, Kimiti ni nani katika Muungano.
Maelezo ya Kimiti hayawezi kutetewa kwa namna yoyote. Kwanza ni Mnafiki, pili ni snitch, tatu hana integrity na kubwa zaidi ni muongo. Mzee Kimiti angekaa kimya ingesaidia hii interview kajivunjia heshima
Kwa upande mwingine huyu Furahia Middle anasoma maswali hana uwezo wa kufuatilia na kumbana mtu
1. Angemuuliza kwanini kero zimemalizwa na SSH na siyo Watangulizi wake.
2. Nani alisimamia kero za Tanganyika
3. Kijana wa leo unamwambia Muungano una faida gani
4. Alikuwa ndani ya Tume kwanini hakupinga alisubiri kinafiki ndani ya Bunge
5. Kwanini alikaa kimya miaka 10
6. Faida za Muungano za kufundishwa mashuleni ni zipi, azitaje 2 tu.
Huyu mtangazaji wa ITV kafeli sana kama wanavyofeli Watangazaji wetu, hawafanyi ''homework' wala hawana weledi wa mada. Wakibabaishwa kidogo wananywea
Ni kama wale wa Global radio waliambiwa na mwenezi wa CCM Zanzibar kwamba Katiba inataka Zanzibar ipewe mgao wa pesa kwa Matrilioni.
Watangazaji wale hawakuuliza katiba ipi na kifungu kipi, walikaa kimya na kuacha uongo utamalaki
JokaKuu Pascal Mayalla
Kazi yao ilikuwa ni kutafasiri tu(kuchakata)maoni ya wananchi na kuyaweka kwny bunge la katiba, siyo kuweka maoni yao.wasingetoa maoni yao kuchakata maoni ya wanainchi wasingelipata ile kitabu...
it is amazing 🐒🐒Kazi yao ilikuwa ni kutafasiri tu(kuchakata)maoni ya wananchi na kuyaweka kwny bunge la katiba, siyo kuweka maoni yao.
Wao walikuwa ni wajumbe, kazi ya mjumbe ni kufikisha ujumbe, sio kuongezea maneno yake.
Nimecheka sana, sasa ndugu yangu jina mbadala la Mnafiki ni lipi?relax bas,
kuwa na staha na muungwana kidogo...
Sahihi kabisa, hakuna jambo la kuongeza kwenye ufafanuzi wako. Huyu mzee kidogo ningemwelewa kama hii miaka 10 baada ya jambo lenyewe kumalizika ndio aseme jinsi alivyotofautiana na wajumbe wenzie kwenye tume juu ya muungano. Lakini kutuambia aliitisha watu pembeni kupinga kile kile kilichopitishwa na tume na yeye akiwemo ni unafiki wa hali ya juu.Mzee Warioba alisema '' tulijadiliana na kubishana kwa muda mrefu hadi tulipopata suluhu''
Paul Kimiti ni mnafiki mkubwa. Alikuwemo ndani ya Tume na hakueleza chochote. Miaka zaidi ya 10 ndipo anatoka na kutueleza alikuwa ''snitch'! Huyu mzee kajivunjia heshima sana
Kilichotoka ndani ya Tume ni makubaliano ya pamoja kwa maana unapata na pia unapoteza ili kufikia muafaka
Kimiti anaposema kulikuwa na dalili za kuvunja Muungano ni Unafiki na uongo kwasababu hizi
Warioba( PM na VP), Salim Ahmed( PM), Mzee Butiku (Katibu wa Nyerere) waliridhia na walitoka kutetea walichokifanya, Kimiti ni nani katika Muungano.
Maelezo ya Kimiti hayawezi kutetewa kwa namna yoyote. Kwanza ni Mnafiki, pili ni snitch, tatu hana integrity na kubwa zaidi ni muongo. Mzee Kimiti angekaa kimya ingesaidia hii interview kajivunjia heshima
Kwa upande mwingine huyu Furahia Middle anasoma maswali hana uwezo wa kufuatilia na kumbana mtu
1. Angemuuliza kwanini kero zimemalizwa na SSH na siyo Watangulizi wake.
2. Nani alisimamia kero za Tanganyika
3. Kijana wa leo unamwambia Muungano una faida gani
4. Alikuwa ndani ya Tume kwanini hakupinga alisubiri kinafiki ndani ya Bunge
5. Kwanini alikaa kimya miaka 10
6. Faida za Muungano za kufundishwa mashuleni ni zipi, azitaje 2 tu.
Huyu mtangazaji wa ITV kafeli sana kama wanavyofeli Watangazaji wetu, hawafanyi ''homework' wala hawana weledi wa mada. Wakibabaishwa kidogo wananywea
Ni kama wale wa Global radio waliambiwa na mwenezi wa CCM Zanzibar kwamba Katiba inataka Zanzibar ipewe mgao wa pesa kwa Matrilioni.
Watangazaji wale hawakuuliza katiba ipi na kifungu kipi, walikaa kimya na kuacha uongo utamalaki
JokaKuu Pascal Mayalla
Wazee wa aina hii, ni wakuchoma tu na moto wa gasHalafu utakuta zee kama hili linalipwa na kulelelwa na Kodi za wananchi. Mxiuuu!