Paul Kimiti: Utaratibu wa mtu mmoja kutembea nchi nzima kufuatilia matatizo ya watu hauwezi kufanikiwa

Nimesema hakuna mifumo imekuwepo ya maana niambie nani aliiondoa?
Awamu ya kwanza ilipinga unyojaji lkn wezi walikuwa wanaua shitika moja na wanaenda lingine.

Awamu ya pili miiko ya uongozi iliuza mali na mashirika ya umma kwa bei za kutupa kwa lugha ya restucturing NBC CRDB ni benki za mfano wakimaliza wanaanzisha benki nyingine.
Ilifuata ndio kabisa miiko ya uongozi ikatupwa viongozi hao hao ndio wafanya biashara na kila aina ya upotevu. List inaenda hivyo hivyo kwa miaka yote ya uhuru. Ufisadi na rushwa hazijawahi kumuacha mtu maskini na haki. Ndio maana anapotokea mtu hata iwe kwa maigizo kuwa anatatua kero watu humuendea.
Kifupi unavyoona watu wanaenda kutafuta suluhu itoshe kusema haki haijawahi kutendeka. Sasa mzee atulie ale keki
 
Ahsante kwa kudadavua.Uelewa wa vijana wengi ni kiduchu sana.Maelezo aliyosema Mzee wetu na michango yao ni nje kabisa ya mada.
 
Ni wapi katajwa Bashite ndugu
 
Mzee atulie. Wivu tu.
 
Huyo amekuwa mbuge wa Sumbawanga kwa miaka zaidi ya 20, hakufanikiwa hata kuitoa lami Tunduma kuileta sumbawanga katika kipindi chake,anaongea nini huyo mzee

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Sio kazi ya katibu mwenezi wa ccm wala ccm yenyewe kutatua matatizo ya wananchi bali serikali. Jukumu la kuisimamia serikali ni la bunge sio ccm, acheni ujinga. Mwenezi wa ccm kazi yake ni kukitangaza chama na sera zake kwa wanachama na wafuasi wao.

Kwani katibu wa itikadi na uenezi ccm ana tofauti gani na mwenzake wa CHADEMA, act na cuf mbele ya sheria za nchi? Rasimu ya Jaji Warioba ilikataliwa na ccm kwa sababu wasingeendelea kujinufaisha mkaunga mkono. Hayo yote ni sababu ya madaraka makubwa ya rais. Kwenye katiba bora kila mtu angewajibika kwa sehemu yake akiwemo rais.

Kungekuwa na utawala wa haki bashite wenu huyo angekuwa jela.
 
Sasa matatizo wayatengeneze wao, hao hao tena wanajifanya kutaka kuyatatua hizo sio hadaa? Zile ni porojo tu kama za vijieweni, eti natoa siku nne kiwanja cha huyu kirudishwe wakati kesi ipo mahakamani, leo ni wiki ya pili hakuna kilichofanyika!! Ila kosa ni wananchi kuwa mapimbi
 
Wewe ni moja ya wapumbavu wa nchi hii? Hakuna Taifa hata moha hata ncji za jirana, ambako wanatumia huu uhuni,

Mkurugenzu wa Halmashauru yupo au hayupi? kama ameshindwa kazi anangoja nini kufukuzwa?

Mkuu wa wilaya je? DAS je? Mkuu wa mkoa je?

Anacho fanya maknda ni hadaaa kwa raia wasio jitambua kama wewe
 
Afanikiwe kujenga lami yote hiyo kwa fedha zipi? Hivi bado mnafikiri wabunge ndio watatujengea barabara?
Una shida,
Kwahiyo tunawapeleka bungeni wakagonge meza? Hujui kuwa kazi ya mbunge ni kusema matatizo ya jimbo kwa serikali na kung'ang'ania mpaka yatatuliwe?
Kwingine barabara zilifika mapema kwa hela ipi?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Yeye alifanya nini cha maana kwenye uongozi wake kule Sumbawanga? akae kwa kutulia amuache mwenezi aendelee kupiga spana.

Mzee Kimiti was failed leader hakuna cha maana chochote alichofanya.
Hicho ki english sasa. 🤣
 
Mbunge hata apige kelele kiasi gani kama serikali haina hela hakuna kitakachofanyika. Sio wabunge walijenga Dar ni historia na umuhimu wa Dar kama makao makuu ya nchi na kitovu cha biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…