Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Na yule RC mwingine jeAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Yes problem is, neno uhalali haupoHawezi shinda akichuana kiuhalali na Gambo
Kwa jinsi upepo ulivyo sidhani kama watamkwamishaWajumbe wa Arusha, Mtoeni Ego yake huyu kijana, JPM alimwambia ana tamaa sana, Still bado hajajifunza tu
😂No Reforms No Election 2025
Patachimbika hapo Ccm Arusha Jiji...Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wanaangalia anae endana na njia zao, makonda aliwasikiliza akaelewa wanachotakaWatu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma