GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mke wa hayati Abeid karume alishatuambia wazi siku ile kuwa makonda ndie mbunge wa Arusha mjini.

Gambo atafute kazi ingine ya kufanya! Mkewe pia alishashushwa cheo!

Kucheza na makonda kwenye game ya siasa, inahitaji mtu smart sana.
 
Ni vile tu hakuna uchaguzi huru na wa haki. Ila huyo Makonda angepitishwa na chama chake, halafu Chadema wangeshiriki; naamini saa mbili tu asubuhi angekuwa ameshindwa vibaya.
 
Hapo apitishwe na kule upande wa pili purrrrrrrrr,rrr Wavae jezi kisha,
Asimamishwe, GL aka 'Mangi'.
Huo mtanange wake R-CHUGA ungenoga balaa.
 
kusema ukweli, naomba Mungu ashindwe huyu jamaaa. ni moja ya machukizo ya uharibifu hapa Tanzania asiyefaa hat akuwa balozi wa nyumba kumi.
 
Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Go Nyamitako go !!
 
Watu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Arusha siyo km huko kwenu, hili ni jiji tena la kitalii hakuna ukabila wala mzawa, huo ushamba uko Majiji km Mwanza, Mbeya, Dodoma labda na Tanga. Sijui mara ya mwisho ni lini mwenyeji alikuwa mbunge. Huku wanaangalia mtu ili mradi ni mtanzania.
 
Tunaomba picha kiongozi.
Hiyo hapo
NYAMITAKO.jpg
 
Ni vile tu hakuna uchaguzi huru na wa haki. Ila huyo Makonda angepitishwa na chama chake, halafu Chadema wangeshiriki; naamini saa mbili tu asubuhi angekuwa ameshindwa vibaya.
Hivi Tate Mkuu, wananchi kupigia kura mgombea X na Walio madarakani kumpa ushindi mgombea Y kunatofauti gani na Mapinduzi? Kwa nini dunia huwa inalaani mapinduzi ya kijeshi na haya "baridi" kuyanyamazia kwa vile hazionekani bunduki?
Hivi itakuwa ni kosa kwetu nasi tukiwashawishi wanajeshi wetu watusaidie nasi tupindue?
Au wafanyayo wao sio uhaini bali wakifanya wananchi/wanajeshi ndio uhaini?
Kwa kweli tumefika mahali tunawaonea wivu waliokuwa na vijana wenye uthubutu kama Jerry Rawlings, Ibrahimu Traore nk ambao walifanya hayo na kuja zigeuza siasa na uchumi kwa nchi zao kuheshimika.
 
Sasa Comrade, kama Aijii pii mstaafu ndiyo amepewa maelekezo ya kuhakikisha anakisaidia chama kwenye majukumu yake mapya ua Uarasii!!

Ndiyo utegemeale hao walioko huko, wawe na ujasiri kweli wa kusimama na wananchi kwenye haki!! Au na wenyewe watakuwa wapo kwenye foleni ndefu ya kusubiria uteuzi!!
 
Watu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Bora wewe unayefahamu siasa za Arusha. Wengi hapa wana mihemko
 
Back
Top Bottom