Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Sasa watu hamshiriki uchaguzi lazima mseme chadema hakuna uchaguzi.Wanajitekenya tu, hakuna uchaguzi.
Sasa watu hamshiriki uchaguzi lazima mseme chadema hakuna uchaguzi.Wanajitekenya tu, hakuna uchaguzi.
Ukiitwa mpumbaf utasema wanakuonea au kukutusi? Maana huu ni zaidi ya upumbavu ukiwekwa pamoja na ujinga.
Akawafunde mademu zake pamoja na weweUbena Zomozi jana kwenye comment ya Mshana Jr Uliona alivyokufunda?
Na ndio furaha yetuWatauwana mwaka huu
Ukiitwa mpumbaf utasema wanakuonea au kukutusi? Maana huu ni zaidi ya upumbavu ukiwekwa pamoja na ujinga.
Wajumbe wa Arusha, Mtoeni Ego yake huyu kijana, JPM alimwambia ana tamaa sana, Still bado hajajifunza tu