JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Hv we ht haya huna? Wanaosimamia uchaguzi wanatoa fomu, we unasema no election, wengine ni bora msingezaliwaNRNE
Lioneni hili bwege, wanaoandaa na kusimamia wanatoa fomu, bwege km hili eti no election. Kwl taahira hajijuiNo Reforms No Election 2025
Go Nyamitako go !!Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo
=======================
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Arusha siyo km huko kwenu, hili ni jiji tena la kitalii hakuna ukabila wala mzawa, huo ushamba uko Majiji km Mwanza, Mbeya, Dodoma labda na Tanga. Sijui mara ya mwisho ni lini mwenyeji alikuwa mbunge. Huku wanaangalia mtu ili mradi ni mtanzania.Watu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Hiyo hapoTunaomba picha kiongozi.
Hili jimbo huwa la kila MtanzaniaWatu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Hivi Tate Mkuu, wananchi kupigia kura mgombea X na Walio madarakani kumpa ushindi mgombea Y kunatofauti gani na Mapinduzi? Kwa nini dunia huwa inalaani mapinduzi ya kijeshi na haya "baridi" kuyanyamazia kwa vile hazionekani bunduki?Ni vile tu hakuna uchaguzi huru na wa haki. Ila huyo Makonda angepitishwa na chama chake, halafu Chadema wangeshiriki; naamini saa mbili tu asubuhi angekuwa ameshindwa vibaya.
Sasa Comrade, kama Aijii pii mstaafu ndiyo amepewa maelekezo ya kuhakikisha anakisaidia chama kwenye majukumu yake mapya ua Uarasii!!Hivi Tate Mkuu, wananchi kupigia kura mgombea X na Walio madarakani kumpa ushindi mgombea Y kunatofauti gani na Mapinduzi? Kwa nini dunia huwa inalaani mapinduzi ya kijeshi na haya "baridi" kuyanyamazia kwa vile hazionekani bunduki?
Hivi itakuwa ni kosa kwetu nasi tukiwashawishi wanajeshi wetu watusaidie nasi tupindue?
Au wafanyayo wao sio uhaini bali wakifanya wananchi/wanajeshi ndio uhaini?
Kwa kweli tumefika mahali tunawaonea wivu waliokuwa na vijana wenye uthubutu kama Jerry Rawlings, Ibrahimu Traore nk ambao walifanya hayo na kuja zigeuza siasa na uchumi kwa nchi zao kuheshimika.
Bora wewe unayefahamu siasa za Arusha. Wengi hapa wana mihemkoWatu wa Arusha kama walimpa ubunge Makongoro Nyerere mzanaki, hawawez kumnyima ubunge Daud Albert Bashite a.k.a Paul Christian Makonda Msukuma
Unamaanisha USAID au NCHI washirika jumuiya ya ulaya?Lioneni hili bwege, wanaoandaa na kusimamia wanatoa fomu, bwege km hili eti no election. Kwl taahira hajijui