Pre GE2025 Paul Makonda ameagiza Waziri wa TAMISEMI kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Pangani Haraka Sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa na ndio maana amekuwa mbunifu sana na kiongozi mwenye kuleta matokeo makubwa na Chanya kila atakapopewa nafasi ya uongozi na kuongoza
Huyo muhalifu alipopata hicho cheo aliwataka mawaziri wawe wanatoa ripoti Kila baada ya miezi mitatu, kuna yoyote katii maagizo ya huyo muhalifu hadi sasa?
 
Makonda hana mshipa wa kumuagiza Waziri.
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…