Paul Makonda amkabidhi Prof Jay millioni 20 ,Atoa ahadi nzitoo ya kumtafutia nyumba upanga ili kuwa karibu na hospitali.

Ametoa yeye au ccm? Kama ni yeye basi ni zile hela alizokuwa anaibia watu akiwa RC.

Hiyo nyumba prof ajitafakari vizuri, labda apewe na hati miliki. Prof alikuwa na nyumba kimara, jpm na makonda wakaivunja, tena ya thamani kubwa
 
Kuna Watu wana Fedha Zao hawataki sifa hivyo wanawaachia nyinyi mkijitangaza wakati wao wamemsaidia Prof. Jay na foundation yake kwa sharti la kutotangazwa!
 
Unatwambia ili iweje? Ulitaka upewe wewe? , kama hiyo fedha imetolewa kweli ni kodi yako au ni zao la ukora alioufanya tangu enzi ya JPM.
 
Akina Mwashambwa wanapendaga kujifanya wanyakyusa wakiulizwaga kumbe ni wandali wa milimani mbozi huko ndani ndani
 
Makonda asije akampa prof. Jay nyumba aliyoipora toka GSM
Wewe inajulikana humu kuwa una chuki binafsi na mheshimiwa Makonda. wewe ndio wale mliomtangazia mwisho lakini Mungu akautangaza Mwanzo wake wa ushindi.ninyi ndio mliojisemea mioyoni mwenu kuwa mmemumaliza na kwamba hawezi kuinuka tena lakini mkaduwaa kuona akiinukia na kuibukia mbele yenu kishujaa na kijasiri akiwa na kibali cha baraka za Mungu mkononi mwake.usishindane na aliye barikiwa na kuwa na Mungu ndani yake. Mungu siyo mwanadamu kama wewe .
 
Unatwambia ili iweje? Ulitaka upewe wewe? , kama hiyo fedha imetolewa kweli ni kodi yako au ni zao la ukora alioufanya tangu enzi ya JPM.
Utakufa na wivu wako na chuki zako binafsi.usishindane na aliye barikiwa na Mungu. Mh Paul Makonda amebarikiwa na Mungu kwa kuwa amekuwa anagusa maisha ya wengi kwa kuwasaidia kwa hali na mali. Wakati mtu kama wewe huna msaada wowote ule hapa Duniani zaidi ya mitusi yako tu kama kichaa au mwendawazimu.
 
Ametoa yeye au ccm? Kama ni yeye basi ni zile hela alizokuwa anaibia watu akiwa RC.

Hiyo nyumba prof ajitafakari vizuri, labda apewe na hati miliki. Prof alikuwa na nyumba kimara, jpm na makonda wakaivunja, tena ya thamani kubwa
Acha uongo wako wewe.najuwa ni wivu na chuki tu ndio vinakusumbua moyoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…