Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Kweli kabisaaa,
Watu wanaozea magereza kwa makosa kama hili la Lulu,
Inakuwaje yeye apigwe 2 yrs wengine hata kesi zao hazisikilizwi hata leo?

Halafu anajitokeza mtu Dady is coming.....!
Wewe ni dady kwa Lulu tu?
Watu kama nyie ndiyo mnatusababishia mvua zisinyeshe Tz
 
Umaarufu upi? wa kuuza K? Au mimi sielewi maana ya umaarufu katika mila na destuli za kiafrika?
Kwa jamii ya Tanzania ni kituko kukataa kuwa Lulu sio maarufu, hasa Kwenye ulingo wa sanaa na wale celebrities wa bongo na mitandaoni
 
Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,kuna kitu kweny sheria technical win unatakiwa umtengenezee mazingira mteja wako kushinda,
Mkuu kaa kimya, unazidi kujiumbua.
 
Kibatara made it possible for Lulu to get away with it.... otherwise yule binti angepigwa mvua ya maana...kuepusha ajali ile ingekua ngumu..Sasa kibatara kakwepesha uso kwa uso ndio maana imegonga mti....
Na namuunga mkono mchangiaji hapo juu...wewe tatizo lako sio kesi na ushahidi wake, Ila tatizo lako ni Kibatara tu..
Sidhani kama huyu jamaa bado atakua na hoja zake tena, umemaliza mkuu. Huyu shida yake ni Kibatala tu. Huwezi kuwa Advocate wa kushinda kesi zote.
 
Kweli kabisaaa,
Watu wanaozea magereza kwa makosa kama hili la Lulu,
Inakuwaje yeye apigwe 2 yrs wengine hata kesi zao hazisikilizwi hata leo?

Halafu anajitokeza mtu Dady is coming.....!
Wewe ni dady kwa Lulu tu?
Watu kama nyie ndiyo mnatusababishia mvua zisinyeshe Tz
Tumuombe Mh. Mrema (Mwenyekiti wa Parole Tanzania) asaidie mambo mawili yafuatayo:
1. Apendekeze kwa serikali kuwaondoa magerezani waliotumikia vifungo kwa muda mrefu na wameonesha kuwa na tabia nzuri na kushinikiza kesi ambazo zimekwama kusikilizwa kwa muda mrefu huku watuhumiwa wakiwa magerezani kwa muda wote huo, zisikilizwe;
2. Kushauriana na serikali juu ya namna ya kuwasaidia watuhumiwa ambao wanahitaji mawakili ili wasaidiwe kupata mawakili.
 
Kwa jamii ya Tanzania ni kituko kukataa kuwa Lulu sio maarufu, hasa Kwenye ulingo wa sanaa na wale celebrities wa bongo na mitandaoni
Nadhani unakuwa maarufu kama kushinda mbio say mita 100 Tanzania, Ngumi etc!
You might be right, Mshana when doing my education, katika sociology of education, mwalimu alidokeza hivi or tulifundishwa kuwa position/heshima/(placement katika social class) ya mtu katika society inakuwa determined na vitu vitatu: 1. Education levle, 2. Financial position and finally 3. Outstanding performance. Where does Lulu fall among those? I stand to be corrected!
 
Bashite ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo
Mtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu.... Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoni
Kosa liko wazi ameua bila kukusudia... Hivi ingekuwa vice versa ingekuwaje? Walio karibu na huyu bi mkubwa wamshike masikio, maisha bado yapo
lulunamamak.jpg
 
Mtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu.... Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoni
Kosa liko wazi ameua bila kukusudia... Hivi ingekuwa vice versa ingekuwaje? Walio karibu na huyu bi mkubwa wamshike masikio, maisha bado yapoView attachment 630652
To be honest hata mm sijaelewa yule mama alimaanisha nini kuongea yale maneno.! Anyway shida kubwa ya WaTz walio wengi ni uwezo wa kujieleza au kutoa maoni hasa sehemu za public
 
Nadhani unakuwa maarufu kama kushinda mbio say mita 100 Tanzania, Ngumi etc!
You might be right, Mshana when doing my education, katika sociology of education, mwalimu alidokeza hivi or tulifundishwa kuwa position/heshima/(placement katika social class) ya mtu katika society inakuwa determined na vitu vitatu: 1. Education levle, 2. Financial position and finally 3. Outstanding performance. Where does Lulu fall among those? I stand to be corrected!
Fame in general terms, fame that cannot classified, as per classical verification point of you... Most of these teens, to whom they are classified as famous (by local underrated tabloids n street newspapers) they are not actually famous when come to terms of fame or famous
 
To be honest hata mm sijaelewa yule mama alimaanisha nini kuongea yale maneno.! Anyway shida kubwa ya WaTz walio wengi ni uwezo wa kujieleza au kutoa maoni hasa sehemu za public
Unaweza kuona aina ya wazazi tulio nao! Nilishtuka mno pale Mwanza kwa yule nabii tapeli Zumaridi, huyu mama alipomtaja mwanae kama MUME WAKE! that was totally insane.... Mama anajua kwa hakika nini maana ya mtu kuwa mume lakini alijitoa ufahamu na kufyatuka... Ndio maana siku hizi kuna baadhi ya wazazi wanawavulia chupi watoto wao[emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hapo alimaanisha Baba au Mungu wa mbinguni atamuokoa.......
 
Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,kuna kitu kweny sheria technical win unatakiwa umtengenezee mazingira mteja wako kushinda,
Hata kama kaua kwelu bila kukusudia?
 
Mtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu..
.. Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoni
Kosa liko wazi ameua bila kukusudia... Hivi ingekuwa vice versa ingekuwaje? Walio karibu na huyu bi mkubwa wamshike
masikio, maisha bado
yapoView attachment 630652

Wanawake ni wanafiki mkuu we ujawajua,
 
JAMAA HACHELEWI KUTUMA wasiojulika kwenda ku mrescue mrembo muuaji baada ya daddy kurudi
 
Back
Top Bottom