Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Hivi mbona hawa wanawake wabongo muvi nawaonaga wakawaida sana,au macho yangu yana mushkel
 
Mkuu ameandika makonda unalalamika

Mbona kibatala kasema anaenda kukata rufaa haujasema chochote

Au kisa makonda ni kundi Fulani
Na kibatala ni kundi lenu

Tujue kila mtu ananafasi ya kuzungumza anacho amini kitamsaidia yeye na si wengine

Wote wapuuzi tu
 
Huyu dogo akanyee debe kwanza mvua 2 zikipita atajua umuhimu wa kugunga miguu mpaka akue
 
IMG_20171114_053313_118.jpg
 
Watanzania asilimia kubwa hawajielewi. Ni kama wamepewa akili za kukojoa na kunya na kula
 
Asee!Kumbe huyu jamaa ni zero kabisa...siamini kama R.C anaweza kupost maneno hayo!
 
Kuua bila kukusudia unatikiwa umuattack mtusasa LULU hakua hivyo, alikua mdogo weight ya kanumba na LULU hazina uwiano mdogo, how. @Kibatala kashindwa ii kesi ni kuonesha how incompetent he is, au anachukulia kesi kisiasa,
..Hata kama Kanumba alikua kalewa, bado itatafsiriwa kama self defense kwa sabab lulu alikua bado mdogo, yaan This case inanipa bells, Something is missing
 
Kuua bila kukusudia unatikiwa uwe na siraha sasa LULU siraha hakua nayo, alijua mdogo weight ya kanumba na LULU hazina uwiano mdogo, how. @Kibatala kashindwa ii kesi ni kuonesha how incompetent he is, au anachukulia kesi kisiasa,
..Hata kama Kanumba alikua kalewa, bado itatafsiriwa kama self defense kwa sabab lulu alukua bado mdogo, yaan This case inanipa bells, Something is missing
Wait a minute.......kuua bila kukusudia UNATAKIWA kua na siraha..!!!
Unatafasiri sheria ya wapi hiyo!?
 
Wait a minute.......kuua bila kukusudia UNATAKIWA kua na siraha..!!!
Unatafasiri sheria ya wapi hiyo!?
Unatakiwa umuattack mtu,ndio tafsir yangu, lakin bado ii kesi inaukakasi, wanaoitafsir kua lulu ameua bila kukusudia wana underate sheria
 
Kuua bila kukusudia unatikiwa umuattack mtusasa LULU hakua hivyo, alikua mdogo weight ya kanumba na LULU hazina uwiano mdogo, how. @Kibatala kashindwa ii kesi ni kuonesha how incompetent he is, au anachukulia kesi kisiasa,
..Hata kama Kanumba alikua kalewa, bado itatafsiriwa kama self defense kwa sabab lulu alikua bado mdogo, yaan This case inanipa bells, Something is missing
Bush lawyer
 
Back
Top Bottom