Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Ujue afadhali mtu anayekosa vyeti halafu anajua kufanya kazi kwa jiheshimu,unaweza kusema labda huyu akili anayo, kakosa nafasi ya kusoma tu.

Au mtu mwenye vyeti vizuri sana, halafu anafanya kazi valuvalu tu, unaweza kusema huyu labda akili anayo, anafanya makusudi tu, akitaka atatulia.

Sasa mtu vyeti hana, kujiheshimu nako zero, huyu unamuweka kundi gani kama sila kufanya kazi kwa kubebwa tu?
 
Hahaha...dady kipind cha kesi alikua kwenye folen magar yalikua hayatembei ...baada ya hukumu taa ya kijan imeruhusu sasa is coming ....
 
Back
Top Bottom