Sawa@#£@££....your mind is totally corrupted...
Kwa jamii ya Tanzania ni kituko kukataa kuwa Lulu sio maarufu, hasa Kwenye ulingo wa sanaa na wale celebrities wa bongo na mitandaoniUmaarufu upi? wa kuuza K? Au mimi sielewi maana ya umaarufu katika mila na destuli za kiafrika?
Baba anakuja!(?)Dady is coming [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi ina vituko sijapata kuona.
Mkuu kaa kimya, unazidi kujiumbua.Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,kuna kitu kweny sheria technical win unatakiwa umtengenezee mazingira mteja wako kushinda,
Sidhani kama huyu jamaa bado atakua na hoja zake tena, umemaliza mkuu. Huyu shida yake ni Kibatala tu. Huwezi kuwa Advocate wa kushinda kesi zote.Kibatara made it possible for Lulu to get away with it.... otherwise yule binti angepigwa mvua ya maana...kuepusha ajali ile ingekua ngumu..Sasa kibatara kakwepesha uso kwa uso ndio maana imegonga mti....
Na namuunga mkono mchangiaji hapo juu...wewe tatizo lako sio kesi na ushahidi wake, Ila tatizo lako ni Kibatara tu..
Tumuombe Mh. Mrema (Mwenyekiti wa Parole Tanzania) asaidie mambo mawili yafuatayo:Kweli kabisaaa,
Watu wanaozea magereza kwa makosa kama hili la Lulu,
Inakuwaje yeye apigwe 2 yrs wengine hata kesi zao hazisikilizwi hata leo?
Halafu anajitokeza mtu Dady is coming.....!
Wewe ni dady kwa Lulu tu?
Watu kama nyie ndiyo mnatusababishia mvua zisinyeshe Tz
Nadhani unakuwa maarufu kama kushinda mbio say mita 100 Tanzania, Ngumi etc!Kwa jamii ya Tanzania ni kituko kukataa kuwa Lulu sio maarufu, hasa Kwenye ulingo wa sanaa na wale celebrities wa bongo na mitandaoni
Mtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu.... Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoniBashite ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo
To be honest hata mm sijaelewa yule mama alimaanisha nini kuongea yale maneno.! Anyway shida kubwa ya WaTz walio wengi ni uwezo wa kujieleza au kutoa maoni hasa sehemu za publicMtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu.... Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoni
Kosa liko wazi ameua bila kukusudia... Hivi ingekuwa vice versa ingekuwaje? Walio karibu na huyu bi mkubwa wamshike masikio, maisha bado yapoView attachment 630652
Fame in general terms, fame that cannot classified, as per classical verification point of you... Most of these teens, to whom they are classified as famous (by local underrated tabloids n street newspapers) they are not actually famous when come to terms of fame or famousNadhani unakuwa maarufu kama kushinda mbio say mita 100 Tanzania, Ngumi etc!
You might be right, Mshana when doing my education, katika sociology of education, mwalimu alidokeza hivi or tulifundishwa kuwa position/heshima/(placement katika social class) ya mtu katika society inakuwa determined na vitu vitatu: 1. Education levle, 2. Financial position and finally 3. Outstanding performance. Where does Lulu fall among those? I stand to be corrected!
Unaweza kuona aina ya wazazi tulio nao! Nilishtuka mno pale Mwanza kwa yule nabii tapeli Zumaridi, huyu mama alipomtaja mwanae kama MUME WAKE! that was totally insane.... Mama anajua kwa hakika nini maana ya mtu kuwa mume lakini alijitoa ufahamu na kufyatuka... Ndio maana siku hizi kuna baadhi ya wazazi wanawavulia chupi watoto wao[emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]To be honest hata mm sijaelewa yule mama alimaanisha nini kuongea yale maneno.! Anyway shida kubwa ya WaTz walio wengi ni uwezo wa kujieleza au kutoa maoni hasa sehemu za public
Hata kama kaua kwelu bila kukusudia?Ndo maana nikazungumzia incompetence apo, something is missing,... Uyu kibatara ajiangalie kuna kesi nying zitamshinda,kuna kitu kweny sheria technical win unatakiwa umtengenezee mazingira mteja wako kushinda,
Sawa,ila kibatala in the sense of the world amefeli pakubwa,Mkuu kaa kimya, unazidi kujiumbua.
Mtu mwingine wa ajabu kabisa ni huyu mama marehemu Kanumba, ameishukuru mahakama kwa kutenda haki amelia kilio cha furaha pengine..... Ameonyesha kufurahia hukumu ile... Hajui kuna kesho hajui kuna siku Lulu atatoka na Inshallah wakakutana tena... Hajui kila anachoongea sasa kinaandikwa na maandishi hayafutiki na yatamfikia Lulu..
.. Mama hana tafakuri na hajui nini cha kuongea na nini cha kuhifadhi moyoni
Kosa liko wazi ameua bila kukusudia... Hivi ingekuwa vice versa ingekuwaje? Walio karibu na huyu bi mkubwa wamshike
masikio, maisha bado
yapoView attachment 630652
au alikuwa anatania..dah hawa ngosha wawili si atleast wangekuwa wanaawambia maboko yao in advance ,mnapata shida kila siku kuwasahihisha..kooloooo..kolooomiijeHapo alimaanisha Baba au Mungu wa mbinguni atamuokoa.......