Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Hapo alimaanisha Baba au Mungu wa mbinguni atamuokoa.......
labda ma failure yaliyopata zero kuanzia shule ya msingi ndiyo yanamuita Jehovah ,daddy...ni heavenly father,na usiniambie yule jamaa huwa anasali kwa Jehovah tunayemjua sisi?oh Lord have mercy...We miss you Ben saa nane
 
Huko gerezani instagram ataionea wapi mpaka asome ujumbe huu.

Ukilewa mataputapu hata kuongea inakuwaga taabu sana.
 
Huko gerezani instagram ataionea wapi mpaka asome ujumbe huu.

Ukilewa mataputapu hata kuongea inakuwaga taabu sana.
Kwani amri ikitolewa na dady apewe simu na bando kila siku plus dstv huko jela kuna atakayepinga?
 
Anamaanisha atampa vip quarter huko jela na kumfuata mara kwa mara usiku.
Bunduki yake ina mapovu tupu!

My waifu wake anajaza choo tu!
Ataishia kupapasa tu!
 
Mtoto anamwiga baba au mama kwa ujumla mtoto anawaiga hasa matendo ya wazazi au watu wanaomlea
 
brother mbona makuli wanabeba mizingo ambayo ina kilo na ujazo kuliko wao, yaani kutofautisha force na weight kwako inakuwa shida? section 18 of penal code [CAP 16 R.E 2002] inaeleza vizuri kuhusu hicho unachoita self defense, soma section yote then kasome sambamba na section 195 of the same ACT. upate tafsiri halisi ya manslaughter. na ndio maana mahakama katika kuzingatia mazingira husika ya kosa la kuua bila kukusudia wakapunguza adhabu ya manslaughter kutoka kuwa life imprisonment hadi kuwa miaka kuanzia 1,2,5 hadi 15. tukio alilofanya lulu limechangia katika kifo cha kanumba, section 18B ya penal code [ACT 16 R,E 2002] inamtia lulu katika hatia ya manslaughter, na hii ni kwasababu lulu alitumia excessive force kumpush kanumba maana kama ulivyosema lulu alikuwa na umbo dogo kama force ingekuwa ndogo basi kanumba hasingedondoka, kudondoka kwa kanumba ndiko kumepelekea kifo. halafu hii ni criminal case na burden of proof iko kwa prosecutor kuprove beyond a reasonable doubt, na kazi ya defence side ni kuraise doubt katika ushaidi wa prosecutor, lulu alishindwa kufanya ivyo kwani alijichanganya. pia ipo nafasi ya rufaa pale unapoona kibatala alichemsha mfuate muelekeze akamuokoe huyo mtoto kama unahisi itakuwa rahisi kiasi hicho.
 
9 desemba lulu out kwa msamaha wa rais, stay tuned.......
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hili jamaa ni zombi sijawahi ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…