ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
ah Daaaady..mtoto hakui kwa baba, full kudeka9 December will give the summary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ah Daaaady..mtoto hakui kwa baba, full kudeka9 December will give the summary
labda ma failure yaliyopata zero kuanzia shule ya msingi ndiyo yanamuita Jehovah ,daddy...ni heavenly father,na usiniambie yule jamaa huwa anasali kwa Jehovah tunayemjua sisi?oh Lord have mercy...We miss you Ben saa naneHapo alimaanisha Baba au Mungu wa mbinguni atamuokoa.......
Huko gerezani instagram ataionea wapi mpaka asome ujumbe huu.Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno haya kwenye picha ya Lulu aliyoambatanisha "Stay strong, dady is coming"
Kwanza najiuliza huyo dady ni nani? Pili Paul Makonda alistahili kwanza kuelewa kuwa hata mama yake marehemu Kanumba ana uchungu wa kumpoteza mwanaye kipenzi na kwa hakika Lulu alistahili hukumu.
Tufike mahali tuache kuweka mahaba kwenye kila jambo, mumeona mrembo amepata haki yake sasa mnaanza kulialia. Tuacheni kuweka mbele mahaba hadi kuzuia haki. Eti dady.....!
View attachment 630076
Kwani amri ikitolewa na dady apewe simu na bando kila siku plus dstv huko jela kuna atakayepinga?Huko gerezani instagram ataionea wapi mpaka asome ujumbe huu.
Ukilewa mataputapu hata kuongea inakuwaga taabu sana.
Bunduki yake ina mapovu tupu!Anamaanisha atampa vip quarter huko jela na kumfuata mara kwa mara usiku.
Itolewe tu!Kwani amri ikitolewa na dady apewe simu na bando kila siku plus dstv huko jela kuna atakayepinga?
Kwa mbali naiona connection ya Makonda->EFM->Majizzo->Lulu->Msamaha wa Mkuu/VIP Cell.
usijali Daddy anaenda ku mrescue na kuusahihisha mhimili uliokosea kutafsiri sheria jana, DADDY IS COMING,he is on the way.Wamuache, kwanza kanumba no alikua ana makosa
Mama na dada zetu hawa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Wanawake ni wanafiki mkuu we ujawajua,
Mtoto anamwiga baba au mama kwa ujumla mtoto anawaiga hasa matendo ya wazazi au watu wanaomleajamaa ana uwezo mdogo sana wa kufirikia, kwa kiongozi kama yeye anatuma picha gani?Lulu aliua na amepata haki yake, muache atumikie abaki na amani yake for the rest of her life, let justice be served kuwa maarufu kwa huyu mtoto hakuondoi dhana ya uwajibikaji...then dady go for all who committed manslaughter, B is an idiot
brother mbona makuli wanabeba mizingo ambayo ina kilo na ujazo kuliko wao, yaani kutofautisha force na weight kwako inakuwa shida? section 18 of penal code [CAP 16 R.E 2002] inaeleza vizuri kuhusu hicho unachoita self defense, soma section yote then kasome sambamba na section 195 of the same ACT. upate tafsiri halisi ya manslaughter. na ndio maana mahakama katika kuzingatia mazingira husika ya kosa la kuua bila kukusudia wakapunguza adhabu ya manslaughter kutoka kuwa life imprisonment hadi kuwa miaka kuanzia 1,2,5 hadi 15. tukio alilofanya lulu limechangia katika kifo cha kanumba, section 18B ya penal code [ACT 16 R,E 2002] inamtia lulu katika hatia ya manslaughter, na hii ni kwasababu lulu alitumia excessive force kumpush kanumba maana kama ulivyosema lulu alikuwa na umbo dogo kama force ingekuwa ndogo basi kanumba hasingedondoka, kudondoka kwa kanumba ndiko kumepelekea kifo. halafu hii ni criminal case na burden of proof iko kwa prosecutor kuprove beyond a reasonable doubt, na kazi ya defence side ni kuraise doubt katika ushaidi wa prosecutor, lulu alishindwa kufanya ivyo kwani alijichanganya. pia ipo nafasi ya rufaa pale unapoona kibatala alichemsha mfuate muelekeze akamuokoe huyo mtoto kama unahisi itakuwa rahisi kiasi hicho.Kuua bila kukusudia unatikiwa umuattack mtusasa LULU hakua hivyo, alikua mdogo weight ya kanumba na LULU hazina uwiano mdogo, how. @Kibatala kashindwa ii kesi ni kuonesha how incompetent he is, au anachukulia kesi kisiasa,
..Hata kama Kanumba alikua kalewa, bado itatafsiriwa kama self defense kwa sabab lulu alikua bado mdogo, yaan This case inanipa bells, Something is missing
KapoteaNgoja mwenye nafasi yake aje
krsimaxxxxSikukuu gani ipo karibuni?