Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Mambo ya magangwe hayo huwezi kuyaelewa
 
Mnakonda aaache ujingaa... Ataingiza mahakama kwenye bifu lake then itamcost Lulu
 
hakika mimi ningekua hakim ningemjoa miaka15 nawengine wachukue tahadhari.
 
Na Nape Angekuwa Kiongozi Kabla Ya Kuvuliwa Ah ah ah ah

Naona Mengi Tuuu Yangetendeka Tuuu

Kiviere Wa Usangi
 
Haya tunasubiri labda Dady atafanya maajabu 9Dec kama sheria ikipindishwa,maana sidhani kama kesi za mauaji zina msamaha.
Ina maana muuaji anaweza achiwa na Babu seya ambaye DNA hazikupimwa akafia jela?
 
Mmh nchi ya baba jesca na bashite hakuna kitu kitu kitashindikana heheheee
 
Ina maana muuaji anaweza achiwa na Babu seya ambaye DNA hazikupimwa akafia jela?
NAYE ATAACHIWA ila kumpa kiki bashite na babaye ionekane jk alikuwa katili wakati issue ya ile kesi ni mke wa mkubwa huko kisiwani zanzibar wala sio jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…