Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Leo naona mtaa mzima utajaa mate kisa, mgumba kapata mimba..... tehteehhh
 
Miezi sita na siku moja toja Bashite apost huo ujumbe wake, hatimae Daddy amefanya yake.

Naomba kile kibao cha " Nina Baba yangu asiyeshindwa kamwe " kimuendee Lulu popote alipo.

Pia kile kibao cha " Utajiju " kilichoimbwa na Legendary wa Bongofleva Juma Nature kimuendee Mama yake Kanumba.
 
MAKAMU RAITHI KAFANYA YAKE.....HAUJAONA UKARIBU WA MAJAMAJEMAJI NA BASHITE?
 
Daddyyyyyy

MAGEREZA: LULU ‘AMETOKA’ KWA MSAMAHA WA RAIS

Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno haya kwenye picha ya Lulu aliyoambatanisha "Stay strong, dady is coming"

Kwanza najiuliza huyo dady ni nani? Pili Paul Makonda alistahili kwanza kuelewa kuwa hata mama yake marehemu Kanumba ana uchungu wa kumpoteza mwanaye kipenzi na kwa hakika Lulu alistahili hukumu.

Tufike mahali tuache kuweka mahaba kwenye kila jambo, mumeona mrembo amepata haki yake sasa mnaanza kulialia. Tuacheni kuweka mbele mahaba hadi kuzuia haki. Eti dady.....!

View attachment 630076
 
Back
Top Bottom