Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Washington DC
 
Ndo maana unarukwa uteuzi weye.
 
Hivi uwa unatumia akili kuandika ama Masaburi.
 
Hebu weka miji mikubwa duniani uliyowahi kufika ili twende sawa maana mimi nimeona miji 32 mikubwa duniani ila sidhani kama bwana mdogo anaweza kubadili hata rangi za nyumba
Kaa kwa kutulia utaona kinachokwenda kutokea katika jiji la Arusha.
 
Wewe endelea na swagga za Demotion lakini ukija kushtuka utabaki unacheka mwenyewe na kujiona huna akili[emoji2][emoji2][emoji2]
Mtu alikuq anaamuru hadi mawaziri na wakuu wa mikoa sasa yeye anakuwa wa kuamriwa nao syo demotion ni nini kwa akili zako za tope
 
 
HUCHOKI?
 
Kwisha habari yako.
Nimeelewa kwa nini unaandika utumbo mwiiingi usio na mashiko mtandaoni
 
Hebu weka miji mikubwa duniani uliyowahi kufika ili twende sawa maana mimi nimeona miji 32 mikubwa duniani ila sidhani kama bwana mdogo anaweza kubadili hata rangi za nyumba
Mkuu 32 mbona mbali muulize hata Zambia hapo amewahi kufika kutokea kwao Tunduma?

Mtu mwenyewe anaandika eti "aljazira" badala ya Al Jazeera.

Sijui haya matakata ya PR CCM inayaokota wapi.
 
Watakaoamini ni ambao hawajawahi kutoka nje ya TZ au hata kuangalia kw internet, Youtube na movies ndo utaamini huu utumbo. Nairobi tu huwezi fananisha
 
Lucas hivi una matatizo gani?
Mbona unaandika vitu vya kitoto sana. Ni hizi njaa tu au kuna la ziada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…