Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Take it easy. Nimeshajua unatania
 
Anaenda kuwa billionaire huko kuna hela nyingi sana.
 
Hivi kuwa chawa ni lazima usiwe na akili? Arusha kuizidi Dubai😂😂😂😂

Sema nmependa dogo unajua kucheza na beat, unajua kulamba nyayo za walamba asali

Huyu dogo in few years mtaskia kawa DC. Anajua kula na kipofu
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kusoma hili likitabu ulilocopy na kupaste hapa
 
Napenda kukwambia kuwa Utaiona Arusha kama na nchi kwa namna itakavyopiga hatua za kimaendeleo kwa haraka na kasi ya mwanga. Mhessimiwa Makonda ni kiongozi mchapa kazi na Mbunifu sana tena sana.

Kwenye nafasi zote alizowahi kupewa hakuna cha maana alichowahi kukifanikisha zaidi ya mbwembwe za kisanii za kuwahadaa wasio na akili.
 
Wewe huo ujuha umeisomea wapi?
 
'jitahidi sana usiojulikane mjinga mbele za watu'
Mwisho wa kunukuu
 
Yaaaani Arusha iwe maarufu kuizidi Washington DC, Dubai na Paris, sometimes jaribu kificha uchawa na mahaba yako simama kwenye uhalisia,

Toka uhuru tuko hivi tulivyo, Makonda huyu alikuwa Dar? Uchafu wote upo kama ulivyokuwa.

Kwa watu wenye akili za aina yako ndiyo maana bado tunapambana na maradhi, umaskini na Ujinga.
 
Haina kwere chalaa aangu man mamon'goo ni ududu tu pale mjini kati nini picnic, mrina nini nigani!
 
Kaa kwa kutulia ndugu yangu uone nini kinakwenda kutokea chini ya uongozi wa Mheshimiwa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…