Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Umempa bajeti gani iliyotofauti na Mongella?
Kwa hiyo unafikiri ukipewa pesa kama wewe siyo mchapa kazi na mbunifu ndio utapata maendeleo? Kwani pesa zinazoliwa na watumishi wa halmashauri kama zingezibitiwa unafikiri zingefanya kazi ngapi?
 
Kwa hiyo unafikiri ukipewa pesa kama wewe siyo mchapa kazi na mbunifu ndio utapata maendeleo? Kwani pesa zinazoliwa na watumishi wa halmashauri kama zingezibitiwa unafikiri zingefanya kazi ngapi?
Kwa hiyo Mongela alikuwa siyo mchapakazi na anakula pesa za umma?
 
Kaka umesahau namba ๐Ÿ˜..
Uwe unaweka hata na email mara moja moja pengine huenda...
 
Aliiacha Dar ikiwa kama????? Wewe jamaa nadhani unahitaji msaada wa kiakili.
 
Akija huku arifu atulize mattercore machalii wa R watamlamba BETO.
 
Sio kuharibu kama kote alikopiitamoo๐Ÿ˜†
 
Ambapo ni katika mabadiliko hayo yaliyoshuhudia Dunia ikitetemeka kama sumaku iliyokaribu na chuma au mtu aliyemwagiwa maji ya baridi sana wakati ni mgonjwa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Wewe ni takataka
 
Mbona Kila teuzi unasahaulika..njoo Kwa mganga Kigoma uoshe nyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ