Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

Najuwa ukweli wangu unawaumiza sana wenye chuki binafsi na Mheshimiwa Makonda kiongozi kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Shupavu kivipi kama katumbuliwa tu hapo kwenye uenezi? Labda atakuwa shupavu mbele ya familia yenu. Akapambane na wadudu huko tuone. Wa tz tunapenda sana kuvipa attention vitu vya kipumbavu kuliko vya maana
 
Kuna wakati characters kama hii unatamani kuiweka kwenye dustbin ila kuna wakati ukisoma maandiko yao unapata kicheko.🤣🤣
 
Shupavu kivipi kama katumbuliwa tu hapo kwenye uenezi? Labda atakuwa shupavu mbele ya familia yenu. Akapambane na wadudu huko tuone. Wa tz tunapenda sana kuvipa attention vitu vya kipumbavu kuliko vya maana
Nani kakwambia kuwa katumbuliwa? Amepewa majukumu mapya serikalini
 
Wazazi wako walipata hasara hapa ningekuwa mzazi wako ningefuga mamba nikawapa wakutafune tu
 
Takataka mwenzako huyo
 
Usikute wewe ndy Paulooo mwenyeweee...

Watu tuna adha mbali mbali mara umeme mara maji...
Alafu kwanini unamtishia kaka wa watu maisha wewe Paulooo..

AchaUchawaAlafuPunguzaKusifiaWanaumeWenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…