Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi.

Hili sio jambo dogo.
 
Muzenji wa propaganda aka abduli unajisikiaje kuwa naona IP yako na ikuru
 
Hapo amekata 5B zake za kununua viwanja
 
Wahenga walipokutana na waganga walisema "kama kweli Mjomba ni Mama, Je akikupa utanyonya?"

Hongera kwa serikali kulipa fidia kwa wananchi wake, Muhimu ni isiwe tu maneno ya jukwaani ya kisiasa wakati watu wana uhitaji wa hizo huduma.

Vile vile kama ametumia neno Serikali imetoa, hii ni nzuri zaidi kuliko kusema Samia ametoa.
 
Back
Top Bottom