Wahenga walipokutana na waganga walisema "kama kweli Mjomba ni Mama, Je akikupa utanyonya?"
Hongera kwa serikali kulipa fidia kwa wananchi wake, Muhimu ni isiwe tu maneno ya jukwaani ya kisiasa wakati watu wana uhitaji wa hizo huduma.
Vile vile kama ametumia neno Serikali imetoa, hii ni nzuri zaidi kuliko kusema Samia ametoa.