Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Nachukua Nafasi hii kumtakia pole baba mungu kwa misululu ya maombi ya washenzi,wapuuzi,wezi,majambazi na makahaba yanayoekezwa kwake..
 
Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Hatakiwi na wala hapaswi kupewa Heshima ya Aina yeyote ile na hata Ikiwezekana asiwe na Dhamana katika hili lakini Je Tumetumia Njia Sahihi kwa Ajili ya Kukomesha janga hili?????
Mana naona Approach Tuliyoitumia sio Nzuri sana na Ndio mana wahusika na wasio wahusika wanapata pakutokea
 
Wadanganyika nao sometimes wanaboa sana kutoa sifa kwa MTU wa kawaida na mpenda sifa matokeo Yake ndio haya anawakojolea anavyotaka " ......

Naomba awashugulikie maana wenyewe hamjui mnachokitaka ,Kukisimamia ,Na kukipenda ...

Mpo mpo tu kama popo Sasa kwa nini asiwageuze anavyotaka wadanganyika?...........

Na sio Hivyo tu Mkuu ila Pia na Viongozi Wetu hawa na nao wanakera na Kuudhi sana yani kila siku Matamko yasiyo na kichwa wala Miguu!!!

Wapinzani nao wana Matamko Hewa kila siku na Serikali nayo ni wale wale so Acha Mtu anayetumia Fursa ya kuwaona wenzie Vibogoyo na basi awageuze tu ili Wajifunze!!!

Makonda anajua anachokifanya kwa sababu ashaona Wapinzani nao ni Watu wa Media tu hawana Effect kwa sasa
 
wewe ndio huelewi ni yupi anamaanishwa..wenyewe wanajijua

Sifa ya public information ni kueleweka kwa public na si kueleweka kwa baadhi ya watu (hao wanaojijuwa).

If that was the case angewapigia simu.

Kama ninaitwa Alfa na ninaishi Mbezi si nitajua ni mimi nimeitwa. Kama ninaishi na jirani anaitwa Alfa si nitahisi yeye kaitwa?

Hivi hili ni la kubishana kweli? Au ushabiki tu.

Naona huongelii intelligence system kuandika Parm Beach. Philemon Mbowe.

Kuna vitu vya kutetea na vingine unakuwa mstaarabu na kukubali makosa na kurekebisha.
 
Nasubiria atakavyo msafisha Gwajima.Maana bado anamshikilia na kumfungulia tuhuma mpya kabisa baada ya ile ya madawa kugonga kwamba.

Kuchafua ni rahisi kusafisha MTU ni kazi kubwa.Nasubiria kama ataomba radhi kwa Gwajima au lah
Serikali hii sio ya Kumsafisha Mtu Mkuu mana hata ifanye kosa vipi haiwezi kujitokeza Hadharani na Kuomba Msamaha kwa kile Walichokifanya, Rejea ya Faru John na Maiti Saba ya Mto Ruvu...
 
We ulimuonaje bila kuwepo kwa mganga mpendwa
.
 
Wabunge wenyewe drugs dealers na Ma drugs lord wote wabunge wanawajua na awajawai kujaribu kuwakemea,kuwazuia, kuwataja na Tanzania ajawai kufanyika Approach yoyote nzur ktk swala la drugs..mapolis wote, majaji wote, makamishina wote wanajua ni watu gani wanaingza na kusambaza madawa.mwananch wa kawaida tu mtaani anajua nani Punda, nani kipunda na nani mswaga Punda..alichofanya makonda ni sawa tu ni bora kuwataja tu maana wauza madawa wanalindwa na wabunge,mapolis , IGP amesimamisha mapolis kazi wakati swala la makomeo,JB, Swai linajulikana toka miaka ya 2000 kuwa wanashirikiana na Mapusha wa unga..ni kweli makonda amekosea sehem ila asingeweza kupatia kama wahusika wa moja kwa moja nao ni sehem ya madawa sasa swala la madawa linakwenda kinafiki ila alivyowataja ni sawa tu iwe kwa faida yake au kwa faida ya vizazi vyetu
Uko sahihi Mkuu mana Nami nimetokea kushangaa kwa hili Wabunge wote kuwa Pamoja kwa kile kinachoitwa Kuungana kwa Ajili ya Kauli ya Pual Makonda lakini Wameacha kuungana Kudai Katiba Mpya, Kufuata Sheria nk..
 
Kwa hiyo na yeyeni Mbweha mwitu??Maana ni mpiga kelele lakini hafanikiwi hata siku moja.
I think hawezi kuwa Mbwa Mwitu hata kama katoa Matamko Mengi tu lakini Yamefunikwa na Tamko la Kupambana na Madawa ya Kulevya ambalo amelifanya kuwa tamko hai na halali
 
Be positive Mr Rc, pokea yote maana kiongozi ni jalala, kumbuka kwamba wanaokupongeza wanakutia nguvu usonge mbele na wanaokukosoa wanataka ufanye vizuri zaidi, wote unawahitaji labda kama hufahamu, kosa kubwa utakalolifanya ni kukata tamaa, na hapo utatuonyesha kuwa ilikuwa mapema mno kupewa nafasi hii na lawama tutamtupia aliekuteua.
Tunaruhusiwa Kumtia Moyo lakini Pia tusisahau kumuambia pale anapokosea ili awe anajirekebisha.
Tumshauri na Njia sahihi ya Kuitumia kwa ajili ya Kupambana na hili
 
Kama yale majina kwenye like karatasi ni kazi ya intelligence system yetu basi tupo nyuma sana.

Unakosea kuandika majina. Philomen Mbowe. Parm Beach. Unaandika Alfa Mbezi. Alfa Mbezi wapo wangapi?

Let's be serious.
Kuandika majina kiufasaha kashindwa tu ka ndo hivo intelligence yetu inahtaji maboresho makubwa jambo la kuandika tu shughuli. Kwanza sidhani ka ni intelligence ila ni makonda mwenyewe.
 
Hivi mbwa mwitu sio wakali eeh! Wao wana bweka tu ......na mbwa koko tutawaitaje? Basi twendeni mbugani kuwasilikiza mbwa mwitu wakibweka
 
Labda anamwongelea mungu wake wamashetani.kwani miungu ni wengi duniani.Shetani ndiye anaye kuongoza kufanya maovu.kuchafua watu bila kufuata sheria ni uovu.Mungu wa mbingu na dunia ni mmoja tu,jina lake ni "Jehova".Mungu wa maovu ni Shetani,unapofanya ovu umwtumwa na shetani.aende kuwadanganya lumuba viongozi wa Maovu.
 
Jana Mbowe kasema 'ndio matatizo ya kuwapa madaraka watoto wadogo wasiokuwa na busara' nilikuwa sijamuelewa vizuri sasa nimeanza kumuelewa vyema
Unapoamua kupambana na Madawa ya Kulevya haina cha Mtoto Mdogo au Kuhitaji busura vinginevyo utashindwa kutekeleza azma ya kupambana na Madawa ya kulevya lakini hapa kosa kubwa ni Njia aliyoitumia sio Sahihi ya Kuruka vyombo vyenye Mamlaka ya kudeal na haya mambo
 
Uko sahihi Mkuu mana Nami nimetokea kushangaa kwa hili Wabunge wote kuwa Pamoja kwa kile kinachoitwa Kuungana kwa Ajili ya Kauli ya Pual Makonda lakini Wameacha kuungana Kudai Katiba Mpya, Kufuata Sheria nk..
Msukuma alisema bungeni wapo drugs dealers na akaongeza akipewa ruksa na mwenyekiti atawataja mbona kauli yake aijafanyiwa kazi? Na kauli ya msukuma aijawavunjia heshima wabunge?? Kwa mfano angeambiwa na mwenyekiti awataje mda ule pale angekuwa na evidence gani kwa hayo majina..watanzania sie ni wanafiki sana ila kuwatambua drugs dealers wa Tanzania aitaji cctv camera wanajulikana ndio maana msukuma alitaka kuwataja aliokuwa nao pale bungeni
 
Ile kashfa ya Makonda ni shogaa imeishia wapi?

Maana nilipoisikia kwa mara ya kwanza kipindi ameenda kwa Trump D, nilidhani masihara.
 
Back
Top Bottom