Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Paul Makonda Asema kuna Watu ni Kama Mbwa Mwitu

Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!

Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??

Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??
Kama hakusingiziwa amerudije?
 
Kilichopo kila anayesubiria kwenda mahakamani inamanisha ipo kesi ya kujibu..! Nataka nione anayedai hakukutwa na hatia aseme tujue kaonewa wapi
Siyo Kila anayekwenda mahakamani ana kesi ya kujibu ni mpaka mahakama isikilize ushahidi ndipo hutoa maamuzi ya kuwapo kesi ya kujibu!
 
Back
Top Bottom