Mwathirika
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 207
- 32
Kama hakusingiziwa amerudije?Ninachojiuliza muuza madawa anatakiwa kipewa heshima ipi?? Mnaopiga kelele bora mungoje atoke mmoja aseme anasingiziwa..!
Sijaona ata mmoja aliyejitokeza kusema kasingiziwa kabla ya kwenda baaadhi ya yao walitoa single zao wakirudi pia watoe single siyo kukaa kimya??
Nani amerudi kwa tambo kwamba kasingiziwa??