Paul Makonda asema kuwa akipita eneo lako na ukaona umetenguliwa na Rais basi juwa kuwa ni yeye na wala usimlaumu Rais

Atatengua woote basi maana kero ni nyingiii sanaaa na haziishiiiii
 
Mzee tupiamo ka picha kako
 
Nguo ya kuazima haisitiri makalio na cheo ni dhamana. Kwa kusema ayo niwatie moyo wote mtakaotumbuliwa kuwa kuna maisha nje ya vyeo vyenu hamkuzaliwa na ukurugenzi wala ukuu wa wilaya.

Mje huku tulime bamia na nyie muonje utamu wa kuwa Mtanzania.
Watie moyo wapige kazi sio kuwatia moyo kwa kuwapa maneno ya kwenye kanga kama upo nao unyagoni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Makombo aache umbea na usnichi...toka enzi zilee alikuwa anawachomea viongozi wenzake wakikosea utasema yeye huwa hakosei!!! SNICHI LA KISSKUMA
 
Mpaka wanyooshe maelezo !
Tumechoka na mafisadi na wabadhirifu wa mali za Nchi !
 
Lengo lako ni lipi wewe!? Unataka wasiwajibike kwenye kazi zao?!.
Unatumia masaburi kufikiri? Jiulize, kwanini Makonda anawaambia atapeleka ripoti kwa Rais ili watumbuliwe kama wanawajibika vizuri kwenye kazi zao?
(nilitaka nisikujibu ila maandiko yananitaka kuwajibu wapumbavu kadri ya upumbavu wenu msije mkajiona mna hekima.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…