Pre GE2025 Paul Makonda asimikwa kuwa Chifu Nsumbantale, yaani Msaidizi wa Chifu Mkuu Hangaya ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
asietaka kumskiza si ni wewe tu ticha na ni haki yako hulazimishwi 🤣

muhimu usipate tu gubu kwasababu ya mamilioni wanamlilia na kumskiza

endelea kujiinjoy endelea kwa bidii sana kujitafuta kama maji na umeme unavipata baraaabaraaa 🐒
Yes kwa huko Tanzania wajinga ni mamilioni na ndio mtaji wa CCM , watu wakipakiwa kwenye malori wakapewa 7k siku kwenda kumsikiliza zero brain anaona imeisha lazima wamlilie .

Hapa nani utampakia kwenye lori akasikilize mtu aliyepata 0 shuleni?

Na kwa akili kama zako na uliwahi kusema wewe ni waziri japo sijajua ni wizara gani sishangai Tanzania kwanini iko nyuma kwa watu wa aina yako na Nape ndio maana nchi inazidi kurudi nyuma mnamdanganya Samia anakubalika maana zero brain wote mnakaa kwenye ngazi moja.
 
..atakuwa ni Chifu wa kwanza kufanyiwa Brazilian But Lift BBL na kuwa na makalio makubwa ktk historia ya Machifu.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi vyeo vya kichifu vimeishakuwa vya kipuuzi sasa. Ni pro political regime machifu kujipendekeza kwa watawala wa kitaifa. Wacha waendelee kujipendekeza
 
😀 umeacha ya muenezi unaanza kudeal na yangu, au waziri hatakiwi humu na sasa
si utachoka sana brain ticha,

niko kidogo na kashughuli ya wapendwa ntakurudia, maana mambo ni mazito haya
 
Hiki alichofanya mkuu wako unadhani kina siha kwa Taifa hili.
Anapofukunyua uchafu ulioko ndani ya Chama chetu unaona kiko Sawa.
Anafikia hadi kulia mbele ya kadamnasi na yote aliyoyafanya yatajidhihirisha siku moja.

Maovu menginkila aendako yamelelewa na Chama hiki! Sasa fikiri ni wananchi wangapi wanapata dhuluma na uonevu wa haki nchi nzima.
Hivyo pesa anazogawa wako mamia wanamashida lukuki.
Imeenda.
 
😀 umeacha ya muenezi unaanza kudeal na yangu, au waziri hatakiwi humu na sasa
si utachoka sana brain ticha,

niko kidogo na kashughuli ya wapendwa ntakurudia, maana mambo ni mazito haya
Waziri kilaza hii ni mara ya mwisho nakujibu elewa kuwa sina muda sana wa kudebate na public figure as you purported to be.

Ila nina uhakika kama kweli wewe ni waziri ni miongoni mwa zile wizara zinazovurunda hivyo wewe ni waziri mzigo miongoni mwa ile orodha ya mawaziri mizigo iliyowahi kuwekwa humu.

Kwa mtu kama wewe kuwa waziri na ni 0 brain sishangai sababu Tanzania any Thom , Dick and Harry can be a minister .

Hii ni comment yangu ya mwisho naona waziri kilaza naomba nikuite tu Blah Blah badala ya Ttaatlaah
 
Kwa sasa chama kupitia Mh Paul Makonda kimeamua kwenda kwa wananchi huko huko waliko kwenda kuwasikiliza kero zao na kuwapatia majibu ya kero zao.
 
Hivi vyeo vya kichifu vimeishakuwa vya kipuuzi sasa. Ni pro political regime machifu kujipendekeza kwa watawala wa kitaifa. Wacha waendelee kujipendekeza
Na wewe chapa kazi kama Mheshimiwa Makonda ili upewe heshima kama anayopewa kila anakopita na kukanyaga.
 
kwahiyo umeachana na hoja ya msingi umeamua kuhangaika na mie nisiewezekana, actualy nina mambo mengi kidogo 😀

hata hivyo be free to call me any name as you like,
but kaa ukijua kazi kwaajili ya wananchi lazima ifanyike kwa umakini sana, kwa umahiri na bidii, kasi na weledi wa kiwango cha juu sana regadless unamfurahia au unamchukia kiongozi flani au kazi yake , ile muhimu tunazingatia ni manufaa na maslahi mapana ya watanzania wote...

otherwise,
I thank you very much for the concerns and challenges,
as a serious politician zingine nitazingati na kuzifanyia kazi coz ni za maana na logic kidogo...
 
Huyu ndiye msaidizi mkuu wa Chifu mkuu Hangaya katika siasa
Vipi kuhusu makamu wa Rais na PM. Wakati mwingine usiwe unajitoa ufahamu ili kukidhi matakwa yako binafsi. Kama ni katika siasa tunajua kwamba kwa muundo wa katiba ya chama cha mapinduzi Samia ni mwenyekiti wa chama na msaidizi wake mkuu ni ndugu Kinana, akifuatiwa Hussein Mwinyi, na baada ya hapo tuna Katibu mkuu wa chama ndugu Nchimbi. Bashite ambaye anakaribia kuwa mumeo hawezi kuwa msaidizi mkuu wa mwenyekiti wa chama kwa sasbabu yeye ni mmojawapo wa makatibu wa sekreteriate mbalimbali za chama ikiwemo fedha, mambo ya nje na kadhalika, kasome katiba ya chama ibara ya 87 vizuri. Ukija kwenye serikali vivyo hivyo kuna Samia ambaye ni Rais, kuna VP na baadae PM na Chief secretary. Labda kama umeamua kuchagua upumbavu tu na kupotosha umma.

Kama ni uchief hajawahi kuwa chief mwanamke isipokuwa malkia, na kwa mantiki hiyo hata mwalimu Nyerere alikataa mfumo wa machifu ili kucentralize power na kuondoa nguvu ya makabila kutaradadi katika multicultural society. Hata hivyo hakuna eneo la kijiografia ambalo hangaya amepewa kutawala ili bashite achaguliwe kuwa msaidizi wake. Huko kote alikopita hakuna jipya alilofanya tofauti na kuingiza per-deim na kuacha ushuzi unaonuka. Mjinga wewe labda ipo siku utaelimika.
 
Naona CHADEMA mmevurugwa akili zenu ni hakuna mfano.siku hizi mmebaki mnatukana matusi kwenye hoja zenu kama vichaa au wendawazimu waliocheleweshwa matibabu. Kaa na tulia ndugu yangu ujenge hoja bila matusi wala sijuwi lugha za kwenye vijiwe vya wavuta bangi.huwezi ukajibiwa vyema ukiweka maneno ya matusi na dharau katika hoja yako, maana yanakuwa yameondoa nguvu na kuidhoofisha hoja yako .

Kaa ujifunze kutoka kwangu.kwani huonagi mimi naandika bila kutukana mtu wala kumdhalilisha.wewe unashindwa nini kufanya hivyo? Sema CHADEMA mmeleewa katika mazingira ya kiholela sana.
 
Ujinga mzigo.

Kwanza sikufeli kama boss wenu na huyo muenezi wake maana walipata 0.

Yes nipo mtaani hapa Crosby karibu sana hakuna malalamiko ya washenzi wa TANESCO wala DAWASCO wala hakuna mtu anaweza msikiliza hapa mtu zero brain kama Makonda.
Lakini Makonda anakuzidi maisha pamoja na chuki zako!
 
Lakini Makonda anakuzidi maisha pamoja na chuki zako!
Kuzidiwa maisha tafsiri yake ni ipi?

Maisha ni nyanja pana inategemea wewe umedefine vipi kutokana na mtazamo wako.

So come again.
 
Hizo sherehe za kuvishwa sijui uchifu, huambatana na mambo ya nguvu za kishirikina. Kukubali kufanyiwa hayo mambo yanayoitwa sherehe za kimila na jadi, ni kuamua na kukiri kwamba sasa umeamua kujitenga na Mungu wa Ibrahim.
 
Mungu ambariki sana Makonda, watanzania tunampenda mno mno tena sana. Dkt Samia ndiyo chaguo letu 2025
Huyo anazipokea baraka kutoka kwa mizimu. Amekwishajitenga na Mungu tunayemfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…