Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Anaruhusiwa.

Uislam wa baada ya Mtume Muhammad ndiyo ulikuja kufunguwa minyororo ya mwanamke kama ulikuwa huelewi.
Asante kwa majibu maana nilikua 'najua' hairuhusiwi. Kwa sababu nchi nyingi za kiislam hakuna viongozi wanawake...
 
Waziri gani huyo asiyekuwa na adabu na bosi wake, au hiyo ni zigzag ambush kutoa kitisho cha kusambaratisha magenge hayo ya kufikirika? Hizi ni mbinu mufilisi za kizamani kufanya siasa za maji taka. Eti mawaziri watoe fedha ili rais atukanwe mitandaoni !, is it possible?
 
Mfungeni Makonda speed governor....
Nchi itachafuka..
Sidhani Kama aliongea Yale aliyoongea kwa bahati mbaya...
Alidhamiria kumdhalilisha Rais aisee...

Maana amutuambia tuende tukayaangalie hayo matusi.

Hali sio poa. Ntashangaa Sana Kama bado Makonda ataamka huru uraiani.
Haki Tena akutukanaye hakuchagulii tusi..
 
Ametoa siyo tu empty, useless threat, but a non realistic one as well. Atajuaje kuwa hilo analodai linafanywa limekoma hadi ifikapo J3 tarehe 15 April ili kwamba asiwataje majina?
 
Naunga mkono hoja.
Makonda ni mkubwa kuliko ukuu wa Mkoa.
Na sidhani kama atakubali kutumika kuwanyanyasa Wamasai wanyonge watoke kwenye ardhi yao Takatifu. Maana hata hivyo alishaapa kusimama na wanyonge hata kwa gharama ya kupoteza cheo.
Namwamini Makonda ni mtu wa kusimamia kauli zake no matter what!
 
Makonda atakuja kufanya wonders !
Na huenda akaiponya hii Nchi kutoka kwenye ule ukwapuzi unaoendelea kila kona !
Siasa sio Uadui !
Ningefurahi kuona before I die wale waliotudharau wakisulubiwa one day !
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Huyu jamaa Kwan Hana wazaz au washauri? Alipaswa kujifunza na kutulia zake kimya hicho anachokifanya kinatuharibia sana, mtu umeshavutwa jikoni kwenye minofu badala utulie ule vitu unaendelea kuwapivia watu kelele.
 
Huyu jamaa Kwan Hana wazaz au washauri? Alipaswa kujifunza na kutulia zake kimya hicho anachokifanya kinatuharibia sana, mtu umeshavutwa jikoni kwenye minofu badala utulie ule vitu unaendelea kuwapivia watu kelele.
Ana ndoto kubwa huyu jamaa !
Na akizichanga karata zake vizuri atatimiza ndoto zake. !
Mtaji wa mwanasiasa ni kuwa na sapoti ya watu wengi !
Mtaji huo jamaa anao!
Anajua kusoma alama za nyakati. !

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Ukweli ndio huo asipoangalia mama atamuweka katika hatari ya kutoamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…