Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Akina nani?Haoa mimi naungana na Makonda, kuna watu kwa mila zao wanaona hawawezi kutawaliwa na mwanamke.
Awafichuwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina nani?Haoa mimi naungana na Makonda, kuna watu kwa mila zao wanaona hawawezi kutawaliwa na mwanamke.
Awafichuwe tu.
Asante kwa majibu maana nilikua 'najua' hairuhusiwi. Kwa sababu nchi nyingi za kiislam hakuna viongozi wanawake...Anaruhusiwa.
Uislam wa baada ya Mtume Muhammad ndiyo ulikuja kufunguwa minyororo ya mwanamke kama ulikuwa huelewi.
Derriere, msubiri whistle-blower, katowa "ultimatum"Akina nani?
Huu ujinga utaacha lini?Tatizo 2030 huko CCM ni zamu ya Mgalatia 😄
Wewe si ume confirm kuwa kundi lipo!!, ndiyo ulitaje sasaNitaje Mimi au RC?
Mfungeni Makonda speed governor....Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine, amesema "Kaka zangu mnaotuma na kulipa watu kumchokoza Mama yangu Samia mnanijua na mimi nawajua, wengine ni Mawaziri leo tarehe 12 iwe mwisho"
Aidha Makonda amemwomba Rais Samia kutoa Fedha za ujenzi wa Kilomita 20 za Lami Jijini humo na kueleza kuwa Wananchi wamemtuma amuombe Mama yake na wanampima kama ni Mama yake kweli
=========
Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana Rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya Jumatatu tarehe 14 April 2024.
Unaweza kubashiri ni mawaziri gani wanafanya hujuma hizi dhidi ya bosi wao? Au Makonda anatafuta kiki?
Maana hata jiwe alimdanganya kama hivi, ndiyo maana jiwe akawa karibu sana na Makonda. Jiwe alipokuja kugundua kuwa aliingizwa chaka akamtema.
View attachment 2961639
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
Pia, soma=> Rais Samia akiashiriki Misa Maalumu ya miaka 40 ya kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine
You got a point niggerAyasemayo yanabaraka Kwa mtetewa!
Mama kaamua kumleta Cyprian musiba wake kwa njia ya nyuma ya pazia!!
Anasema Yale ambayo Mama hawezi yasema hadharani!!
Naunga mkono hoja.Hajakubali Ukuu wa Mkoa, hata mimi ningekataa. Wamemtoa uraiani kwenda kuwa mwenezi kuiokoa a failing Samia administrion, ghafla wanamrusha Arusha makusudi akatulize Wamasai wanaonyang'anywa ardhi kufanywa vitalu vya Waarabu na akajibizane na Godbless Lema, heelll no.... kasema kwenye inaugural speech yake he ain't doing all that dumb crap.
Paul Makonda ni mkubwa kuliko Ukuu wa Mkoa, way bigger than kujibizana na mpinzani Arusha. And when the whole nation is watching Makonda hawezi kusimama kuongelea matundu ya vyoo vya wasichana Monduli...
He was the right hand man of Magufuli administration, he harbors state secrets, he knows where the bodies are burried. He has secrets the president doesn't. CDF Mabeyo alimwambia rais mpya msiba wa Magufuli ukiisha nitafute nianze kukupa state secrets. She had been kept in the dark all along, a deer in the headlight. Na juzi CDF Mabeyo karudia kusema Vice President Samia did not have the faintest clue the president was dying.... Walimwita Askofu Pengo kabla ya Vice President. Likewise, Mkuu wa Kamati ya Usalama D'Salaam, Paul Makonda, had better access to state secrets than the former Vice President, and he still does.
Na wakimfirigisa ndani ya CCM anaingia mtaani yeye kama yeye! Edward Lowassa 2 point O. It won't be the same this time around, yule Mzee alikuwa slowed down by Alzeihmers, kutembea mpaka ashikiliwe anasumbuliwa na Arthirist, couldn't read a speech to save his life, sijui Parkison's Desease, Multiple Sclerosis and all the rest of it. Paul Makonda has fresh legs and a chip on his shoulder, you don't wanna go down that road!
Duh 🙄 !
who is dada wa Tandika ??!Kumekucha
c/o dada wa Tandika 🐼
Makonda atakuja kufanya wonders !Naunga mkono hoja.
Makonda ni mkubwa kuliko ukuu wa Mkoa.
Na sidhani kama atakubali kutumika kuwanyanyasa Wamasai wanyonge watoke kwenye ardhi yao Takatifu. Maana hata hivyo alishaapa kusimama na wanyonge hata kwa gharama ya kupoteza cheo.
Namwamini Makonda ni mtu wa kusimamia kauli zake no matter what!
Lakini hiyo ni mazowea tu sio sheria !Tatizo 2030 huko CCM ni zamu ya Mgalatia 😄
Kwa CCM ni SheriaLakini hiyo ni mazowea tu sio sheria !
Ngoja Tusubiri tuone !
Ana ndoto kubwa huyu jamaa !Huyu jamaa Kwan Hana wazaz au washauri? Alipaswa kujifunza na kutulia zake kimya hicho anachokifanya kinatuharibia sana, mtu umeshavutwa jikoni kwenye minofu badala utulie ule vitu unaendelea kuwapivia watu kelele.
Ukweli ndio huo asipoangalia mama atamuweka katika hatari ya kutoamiwaHakuna waziri anafanya hicho kitu bali Makonda anatafuta namna ya kuwapaka shombo mawaziri ambao hana mahusiano nao mazuri kama; Nape Nnauye, Januari Makamba, Hussein Bashe, Riz 1 Kikwette.
Kupata uwaziri ndiyo ndoto ya wabunge wengi baada ya uchaguzi. Rais Samia amekupa Uwaziri, unaanzaje kulipa watu wamtukane mtu alikupa Uwaziri ambayo ni privilege adimu?
Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?
Kama ambavyo akiwa Mwenezi wa CCM hakujua majukumu yake, huku nako kwenye u RC wa Arusha bado Makonda hajui kazi yake.
USHAURI KWA RAIS SAMIA:
Chonde chonde Rais Samia USIINGIE mtego huu wa Makonda. Huyu NI ZEROBRAIN atakuharibia uRais wako.
Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.
Piga chini, muache na maisha yake maana hata Magufuli aliyemleta mwaka 2016 kama RC Dar alikuja akamchoka na akamtema mwaka 2020.