Paul Makonda Awabubujisha watu machozi ya furaha utafikiri wamepigwa na mabomu ya machozi

.
 
.
 
.
 
.
Thread 'Utashi wa kiroho una nguvu kuliko silika za kimwili' Utashi wa kiroho una nguvu kuliko silika za kimwili
 
.
Thread 'Utashi wa kiroho una nguvu kuliko silika za kimwili' Utashi wa kiroho una nguvu kuliko silika za kimwili
 
You have written stupid things 🤔🤔(USHABWADA)ever happen,sorry say that.
 
Nimeona video yake ya Arusha Kisongo Eyapoti, Makonda anaonesha kweli alikua anaumwa na bado hajapata nguvu sawasawa. Amekonda sana na mvuto umefifia.

Mwenyezi Mungu amsalimu salama, aendelee na majukumu yake kwa salama na amani.
Wapo wanaosema Makondo siyo yeye, kuna mru kavishwa maski ya Makonda. Kuna pipo zinasubiri tanzia ndani ya mida mfupi tu. Endeleeni hivyohivyo
 
Wapo wanaosema Makondo siyo yeye, kuna mru kavishwa maski ya Makonda. Kuna pipo zinasubiri tanzia ndani ya mida mfupi tu. Endeleeni hivyohivyo
Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ataendelea kuishi kwa kadri Mungu alivyompangia.chuki binafsi za binadamu mafisadi ,wala rushwa na wahalifu haziwezi kufanya lolote lile kwa Mwamba anayelindwa na Mungu Mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…