Paul Makonda Awabubujisha watu machozi ya furaha utafikiri wamepigwa na mabomu ya machozi

Kuuna sahivi ndo utamaduni wao usishangae Leo mtu mzima Na kesho akawa mahututi, hata JK aliwwhi kusema CCM hawaaminiani hata kumwachia mwenzio glasi ukenda chooni ni lazima wakukaushe
 
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba
 
Nimeona video yake ya Arusha Kisongo Eyapoti, Makonda anaonesha kweli alikua anaumwa na bado hajapata nguvu sawasawa. Amekonda sana na mvuto umefifia.

Mwenyezi Mungu amsalimu salama, aendelee na majukumu yake kwa salama na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…