Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la Sahara.

Ni maandamano ambayo yamewahusisha viongozi mbalimbali wa dini kutoka madhehebu mbalimbali hapa Nchini. ni maandamano yaliyokuwa na lengo ya kuliombea jiji na mkoa mzima wa Arusha.ni maandamano Makubwa yaliyotikisa ukanda wote wa Afrika mashariki na habari zake kusambaa katika vyombo mbalimbali ndani na nje ya Nchi.

Ni maandamano yaliyogusa hisia za mamilioni ya watu ambao wameonyesha kuguswa sana na ubunifu wa kiongozi huyo kijana na mwenye Kalama ya uongozi na ambaye amekuwa akitabiliwa makubwa kwa siku za usoni.

Ni maandamano ambayo yameonyesha namna Mwamba Mwenyewe Paul Makonda alivyo na ushawishi mkubwa hapa Nchini kumpita kijana yeyote yule wa umri na rika lake kwa hakika unaweza kumchukia na kuwa na chuki na Mwamba huyu lakini ni ngumu kukataa na kupinga ukweli kuwa huyu Mwamba anapendwa na kukubalika na watu kupita maelezo.

Huyu Mwamba anakubalika ,kupendwa,kuaminika na kibali mbele za watu alichopewa na Mungu Mwenyewe ni kijana ambaye ukimchukia ndio ni kama unamuongezea hatua katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.anapendwa mpaka Dunia inashangaa huyu siyo mtu wa kawaida na kuna kitu Mungu amekusudia kuja kumpa kijana huyu juu ya ardhi ya Tanzania ili aweze kutimiza kijana huyu ambaye hawezi kutamka sentesi tano bila kumtaja Mungu na ukuu wake.

Amepigwa kila aina ya mishale na kila aina ya fitina na kila aina ya Majungu lakini amebakia kuwa imara kuliko jana na juzi na wakati wowote ule ni kijana jasiri ,imara,madhubuti,shupavu mpaka maadui zake wanamhaha na kuogopa hata kusikia Sauti yake ikiunguruma kama Simba.

Sasa leo Mwamba amesema kuna watu Wanaomroga RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika. Ambapo kwa ujasiri kabisa ametamka maneno hayo hadharani maneno ambayo yametikisa na kuleta mijadala mitaani kote.

Sasa nilikuwa naona kama ingewezekana awataje watu hao hadharani ili waweze kujulikana kwa watanzania. Maana wakati mwingine mchawi anakosa nguvu ukimwambia na kumuweka wazi na peupe.

Maana hawa wachawi wanaweza kuungana na kumroga Rais wetu mpaka kuathiri hadi katika maamuzi afanyayo RAIS .ikumbukwe ya kuwa uchawi upo na umetajwa hadi katika biblia.

Hawa wachawi wanaweza kumroga Rais wetu hadi akajikuta anateua watu ambao hawana sifa kabisa ya kupewa uteuzi au akatengua wengine ambao wana sifa na uchapakazi uliotukuka AU kufanya maamuzi makubwa yenye athari kwa Taifa letu kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.

Kwa hiyo ni muhimu hawa wachawi watajwe kabisa ili wajulikane kabisa ni maadui wa Taifa letu maana kama ambavyo baba wa Taifa hayati Mwalimu Nyerere alivyosema katika kitabu chake cha uongozi wetu na hatima ya Tanzania kuwa ukimtikisa Rais unakuwa umetikisa hadi Nchi.

Mwamba Makonda najua ni jasiri na ndio maana sote tuliona namna alivyowataja majina wale wote waliokuwa wanajihusisha na masuala ya madawa ya kulevya.

Japo ushahidi haukupatikana kwa baadhi ya watu kwa kuwa kesi zilikuwa hazijaenda mahakamani na hivyo wengine kudai kuwa walikuwa wanachafuliwa na kukomolewa na wengine kudai kuwa alikuwa anapewa kibuli cha kuwakomoa baadhi ya watu na aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Mheshimiwa Hayati Daktari Mwalimu John Pombe Joseph Magufuli.

Kutowataja watu hao Wanaomroga RAIS inaweza leta taharuki na kuanza kutajwa kwa majina ya watu hovyo hovyo au kuanza kuchafuana kwa baadhi ya watu.

Ngoja niweke kalamu yangu chini mara moja.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Screenshot_20241207-145912~2.jpg
 
Kuna comment niliisoma uzi mwingine, jamaa alisema una faida zaidi ukiwa mfu kuliko hai. Nahisi alikuwa na point😂😂😂😂.

Kauli ya Makonda kuhusu kurogwa kwa Raisi ni ithibati kuwa washirikina wengi hujificha nyuma ya ucha Mungu.

Pia inathibitisha kuwa ni kweli alikuwa akimpelekea Jiwe waganga. Hapo ana hint kijanja apewe kitengo cha tunguri na Bi Mkubwa.

Ila kwa Mzanzibari abakie kwenye uchawa tu. Kwenye ndumba huko ndio wabobezi. Majini yanaagiziwa toka Oman kufanya kazi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la Sahara.

Ni maandamano ambayo yamewahusisha viongozi mbalimbali wa dini kutoka madhehebu mbalimbali hapa Nchini. ni maandamano yaliyokuwa na lengo ya kuliombea jiji na mkoa mzima wa Arusha.ni maandamano Makubwa yaliyotikisa ukanda wote wa Afrika mashariki na habari zake kusambaa katika vyombo mbalimbali ndani na nje ya Nchi.

Ni maandamano yaliyogusa hisia za mamilioni ya watu ambao wameonyesha kuguswa sana na ubunifu wa kiongozi huyo kijana na mwenye Kalama ya uongozi na ambaye amekuwa akitabiliwa makubwa kwa siku za usoni.

Ni maandamano ambayo yameonyesha namna Mwamba Mwenyewe Paul Makonda alivyo na ushawishi mkubwa hapa Nchini kumpita kijana yeyote yule wa umri na rika lake.kwa hakika unaweza kumchukia na kuwa na chuki na Mwamba huyu lakini ni ngumu kukataa na kupinga ukweli kuwa huyu Mwamba anapendwa na watu kupita maelezo.

Huyu Mwamba anakubalika ,kupendwa,kuaminika na kibali mbele za watu alichopewa na Mungu Mwenyewe.ni kijana ambaye ukimchukia ndio ni kama unamuongezea hatua katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.anapendea mpaka Dunia inashangaa.huyu siyo mtu wa kawaida na kuna kitu Mungu amekusudia kuja kumpa kijana huyu juu ya ardhi ya Tanzania ili aweze kutimiza kijana huyu ambaye hawezi kutamka sentesi tano kumtaja Mungu na ukuu wake.

Amepigwa kila aina ya mishale na kila aina ya fitina na kila aina ya Majungu lakini amebakia kuwa imara kuliko jana na juzi na wakati wowote ule.ni kijana jasiri ,imara,madhubuti,shupavu mpaka maadui zake wanamhaha na kuogopa hata kusikia Sauti yake ikiunguruma kama Simba.

Sasa leo Mwamba amesema kuna watu Wanaomroga RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika. Ambapo kwa ujasiri kabisa ametamka maneno hayo hadharani.maneno ambayo yametikisa na kuleta mijadala mitaani kote.

Sasa nilikuwa naona kama ingewezekana awataje watu hao hadharani ili waweze kujulikana kwa watanzania.Maana wakati mwingine mchawi anakosa nguvu ukimwambia na kumuweka wazi na peupe. Maana hawa wachawi wanaweza kuungana na kumroga Rais wetu mpaka kuathiri hadi katika maamuzi.ikumbukwe ya kuwa uchawi upo na umetajwa hadi katika biblia .

Hawa wachawi wanaweza kumroga Rais wetu hadi akajikuta anateua watu ambao hawana sifa kabisa ya kupewa uteuzi au akatengua wengine ambao wana sifa na uchapakazi AU kufanya maamuzi makubwa yenye athari kwa Taifa letu kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo. Kwa hiyo ni muhimu hawa wachawi watajwe kabisa ili wajulikane kabisa ni maadui wa Taifa letu maana kama ambavyo baba wa Taifa hayati Mwalimu Nyerere alivyosema katika kitabu chake cha uongozi wetu na hatima ya Tanzania kuwa ukimtikisa Rais unakuwa umetikisa hadi Nchi.

Mwamba Makonda najua ni jasiri na ndio maana sote tuliona namna alivyowataja majina wale wote waliokuwa wanajihusisha na masuala ya madawa ya kulevya japo ushahidi hakupatikana kwa baadhi ya watu kwa kuwa kesi zilikuwa hazijaenda mahakamani na hivyo wengine kudai kuwa walikuwa wanachafuliwa na kukomolewa na wengine kudai kuwa alikuwa anapewa kibuli cha kuwakomoa baadhi ya watu na aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Mheshimiwa Hayati Daktari Mwalimu John Pombe Joseph Magufuli.

Kutowataja watu hao Wanaomroga RAIS inaweza leta taharuki na kuanza kutajwa kwa majina ya watu hovyo hovyo au kuanza kuchafuana kwa baadhi ya watu.

Ngoja niweke kalamu yangu chini mara moja .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwenye hiyo orodha, na uhakikishe anakutaja na wewe! Maana ni muda sasa umekuwa ukimroga Kamanda Mdude_Nyagali mchana kweupe, ila kwa bahati mbaya uchawi wako wote wa Mbozi haujawahi kumgusa huyo Kamanda.
 
Akiwataja naomba mnitag
 
Back
Top Bottom