Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Akiwataja hata watano tu najitoa JF mazima
 
Tuwe na subira wakati anajiandaa kuwataja kama ambavyo watanzania wanatamani afanye hivyo.
 
Menu acha ujinga wako hapa
 
Magu naona alimtenga kwa uongo huu wa kutafuta upendo zaidi
Ila kwa mama sidhani hata kama anajali haya ya ushirikina
Ila ni mbinu za kijinga sana hizi ili upendwe
Usiseme ni ujinga wakati wewe huelewi kitu hapo ulipo.kama huna jicho la tatu na huna Mungu ndani yako huwezi kuelewe.kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri majina ya hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…