Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Utumbo mtupu
 
Usiseme ni ujinga wakati wewe huelewi kitu hapo ulipo.kama huna jicho la tatu na huna Mungu ndani yako huwezi kuelewe.kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri majina ya hao watu
Acheni ushirikina nyie
Inaonekana na wewe una chale mpaka kwenye unyayo
Mimi namuamini Mungu sana na huu ujinga wa uchawi wenu hauwezi kumpatq Rais
Acheni ujinga huu hauwasaidii
Eti jicho la tatu lipi hilo
Siamini upumbavu wa mambo ya kichawi hata siku moja
Wewe uko upande gani
 
Mchawi wa kwanza kalitaja jina lako , sasa muache kumroga Rais
 

Kumbe wewe ndiye...😂😂😂🥱
 
Ungekuwa na Mungu ndani yako ungeelewa maana ya jicho la tatu.
 
Kinana anawa-zoom tu.
Nape anawachora tu.
Makamba anawang'ong'a.
Ummy Mwalimu anachekea uvunguni.

Halafu unatudanganya kuwa mko wamoja??!
CCM ni moja na wana CCM ni wamoja na hakuna aliye mkubwa zaidi ya CCM.
 
Heading ni "awataja hadharani", kwenye gazeti lako ni umeomba awataje, umewahi kuwa na tatizo lolote la afya ya akili na ukatafuta tiba!!??
Kama bado hujawahi pata tiba,nitakuunganisha na mdada mmoja mtaalamu wa ile taasisi pale Isanga.
 
Heading ni "awataja hadharani", kwenye gazeti lako ni umeomba awataje, umewahi kuwa na tatizo lolote la afya ya akili na ukatafuta tiba!!??
Kama bado hujawahi pata tiba,nitakuunganisha na mdada mmoja mtaalamu wa ile taasisi pale Isanga.
Embu acha ujinga wako hapa.ungeuliza kwa hekima ueleweshwe. Ni moderator ndio wameweka hivyo na siyo nilivyokuwa nimeandika mimi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…