Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Kwanza tujue
  1. Rais (mwajiriwa wetu) alipata tatizo gani linaloashiria alirogwa
  2. Kwanini hakutumia benchi la ufundi kutatua tatizo akampa taarifa huyo RC
  3. Kutokana na kauli hii ya RC Rais mwenyewe na wanausalama wanatuambia nini waajiri
 
Taifa linaloongozwa na wahuni
Raia wanatekwa na kuuawa huyo mama anasema ni drama
Mzee Kibao ameuawa kinyama anasema.kifo ni kifo tu.

Nafurahia mnyukano ndani ya CCM kwani matokeo yake nchi itapona mkishamalizana.

Mtu mwehu kama Kingo aache kumroga boss wake kweli?
Mtu mpuuzi kama Mwashambwa aache kumroga boss wake kweli?
Mwijaku na upumbavu wake unadhani ni karama ya Mungu?
Mrogane na muuane ili muiache Tanganyika yetu
 
Shida yako huna akili.

Makonda ameongea culture ya watanzania na watumishi wa umma kwa ujumla kwenye kusaka madaraka wanaloga sana.

Hajamlenga mtu, alichosema ni kwamba watu wanasaka nafasi hata kwa nguvu za giza (utamaduni wa serikalini).

Sasa utamloga nani zaidi ya mwenye madaraka ya teuzi ili ufikie hazma yako zaidi ya raisi.

Ndio msingi wake wa kusema raisi Samia analogwa sana; nchi nzima na watu mbali mbali wenye political ambitions.

You are so dumb
 
Fitina, majungu, uchawa na kukosa uadilifu kwenye utendaji ni zaidi ya uchawi wa mitishamba!!
Shida ya UVCCM hawajui loyalty yao ipo wapi na inapimwa vipi.

Wajikite wapi kwenye upambanaji na mambo yepi ya kuacha nayo.

Kwa kumuelewa mwenyekiti wao anataka kusikia hadithi zipi; kama nikujipendekeza.
 
Hivi umeandika baada ya kufikiri au umeandika ndio ukaanza kufikiri ulichoandika? Acha kukurupuka hapa. Wewe ni mnafiki na usiye na msimamo wala akili ya kusimamia jambo
 
Shida ya UVCCM hawajui loyalty yao ipo wapi na inapimwa vipi.

Wajikite wapi kwenye upambanaji na mambo yepi ya kuacha nayo.

Kwa kumuelewa mwenyekiti wao anataka kusikia hadithi zipi; kama nikujipendekeza.
Tangia lini na wewe ukawa na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…