Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Nakasirikaga saana wewe chawa kutuita sisi ndugu zako.hakuna ndugu yako humu.ndugu zako ni mafisadi na wauaji unaowatetea na kuwapigia kampeini bila soni koma kutuita sisi ndugu zako.
 
Shida hana akili timamu yeye anawaza kuwa DAS ndiyo maana mwisho huandika full name ili TISS wamuone
Watu wenye nafasi serikalini wanajua kutocheza na hisia za boss.

Hajui siasa

Anyway keshasema sina la kumfunza, sina mamlaka ya kuingilia shughuli zake.

Anajua anachoandika, thing about me ni kuheshimu maamuzi ya watu.

Mtu akisema achana nae, heshimu
maamuzi yake (unakubaliana nae au lah) sio matatizo yako.

Kuanzia sasa naachana nae, you have to respect people way of thinking.
 
Nakasirikaga saana wewe chawa kutuita sisi ndugu zako.hakuna ndugu yako humu.ndugu zako ni mafisadi na wauaji unaowatetea na kuwapigia kampeini bila soni koma kutuita sisi ndugu zako.
Bila shaka wewe ni mhamiaji haramu hapa Nchini.maana sisi watanzania kwa utamaduni wetu sote ni ndugu.
 
Usku
te ndugu Luka ndo kondakta???
 
Kusadikikani kila kitu ni cha kusadikika.
 
Makonda ni domo kaya kama machawa wengine tu!! Kuna kipindi alisema kuna makundi yanayo mpinga Rais ndani ya chama na serikali. Jambo ambalo alishindwa kulidhihirisha. Leo kageuka kwa kulumanzila story ni uchawi.. Hiyo ni serikali ya Ccm inayo abudu ushirikina. Na bado hakuna hatua atakazo chukuliwa
 
Embu acha ujinga wako hapa.ungeuliza kwa hekima ueleweshwe. Ni moderator ndio wameweka hivyo na siyo nilivyokuwa nimeandika mimi hivyo
Hekima anaonyeshwa mwenye hekima, mjinga anaulizwa kijinga, mpumbavu anaendewa kipumbavu.
 
Uchawi upo na wanaoroga wapo.Mimi hapa tayari nimeshalogwa..kuisoma hii mada na kupoteza muda wangu,hakika nimelogwa!
Mchawi wangu namba moja ni wewe mleta hii mada..!
Hao warogaji hawana majina?

Acha kuleta mada za kijinga we chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…