Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..

Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.

Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.

Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.

Muda upo tusubiri.


Matokeo rasmi
----------------------------

Paul Makonda kura 122
Faustine Dungulile kura 190


Updates 20 Agust 2020
----------------‐---------------------------------
Kura za maoni halmashauri kuu CCM taifa yanpitisha Faustine Ndugulile kuwa mgombea ubunge jimbo la kigamboni
 
Back
Top Bottom