Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo wanaosema mtoto wa baba atapangiwa wizara baada ya ubunge,magu alisema kabla we nimekuteua alafu unakimbilia ubunge ni tamaaHiyo kauli Magu alisema na alirudi kwa msisitizo,Katibu wa ccm taifa naye leo kasisitiza pia,Polepole naye ameshasema sana na kurudia tena akiwa kigamboni na akamtaja kabisa.
Kwahiyo kila dalili inaonyesha huyu jamaa ngumu kupita
Ndugai na Majaliwa - mmoja wao asubiri kuugulia maumivu tu endapo dogo atashinda ubunge.Atakatwa jina sawa!Lakini usifikiri halijui hilo. Subirini uchaguzi ukishapita mtapata majibu.
Hii ndiyo ule msemo wa JK.....changanya na za kwako
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwa akili zako Magufuli anaweza kumkata Bashite?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi mbona mna akili fupii hiviii???Ndo hapo wanaosema mtoto wa baba atapangiwa wizara baada ya ubunge,magu alisema kabla we nimekuteua alafu unakimbilia ubunge ni tamaa
Watu wanajitoa fahamu tu ila Bashite anachukua Jimbo la Kigamboni hata kama asipopata kuraa za kutoshaaa..!! Kwa sasa kuhusu nani agombee sio kura tena ndani ya CCM ila ni mwenye chama chakee hadi wazeee wakongwe wameishiaa kusifu na kuabudu tu hawana jinsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Magu anawaburuzaa vilovyooo..Ndugai na Majaliwa - mmoja wao asubiri kuugulia maumivu tu endapo dogo atashinda ubunge.
asipokatwa halafu akashinda ubunge, ataukwaa uspika au nako akifanyiwa figisu na wabaya wake chamani basi babake atampa u PM lazima.
akikatwa ubunge, babake atamteua viti maalumu na kumpa portfolio ama ya home affairs ama ya defence ama atamrejeshea u RC wake.
Bashite asingeweza kuacha u RC bila ya kwanza kucheza karata zake vyema na babake. huyu dogo as long as babake yupo madarakani, ni bata batani kwa kwenda mbele!
Hakuna wa kumkata bashiteee...!!Lazima atapita kule labda wamkate kura za maoni
yeah, true... ndani ya CCM siku hizi hakuna wa kusema fyoko mbele ya Bashite na babake!Watu wanajitoa fahamu tu ila Bashite anachukua Jimbo la Kigamboni hata kama asipopata kuraa za kutoshaaa..!! Kwa sasa kuhusu nani agombee sio kura tena ndani ya CCM ila ni mwenye chama chakee hadi wazeee wakongwe wameishiaa kusifu na kuabudu tu hawana jinsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Magu anawaburuzaa vilovyooo..
Nimeikumbuka kauli ya rais baada ya Makonda kusema alipata fedha za kaya masikini toka TASAFNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja,leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nye ,mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua,hao hao watu ndo anategemea wampitishe,wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao,na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Mda upo tusubiri.
Soma pia: Paul Makonda amejaa Kiburi na Uthubutu usiomithilika
Labda kama Magufuli sio mwenyekiti wa Chamaa...!!
Mpoki wa Ze ComedyMpoki gani tena. Balozi!? Au ulimaanisha Ndungulile.... Maana ni maclass mate Muhimbili.
NdioKuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli ?Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.
Ila bado kawaacha mbali sana ktk kila kitu.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja,leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nye ,mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua,hao hao watu ndo anategemea wampitishe,wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao,na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Mda upo tusubiri.
Soma pia: Paul Makonda amejaa Kiburi na Uthubutu usiomithilika
Bora kuoga kuliko kuwa na akili za mafii hivii...yani uozooo kabisaa😎
Umeoga mafi we kweli leo,nenda katawaze hujachelewa
Yaah ukilijua hilii bhasi utadumu ndani ya chama na nafasi uliyopewa ndani ya ccm lakini ukitaka kuinua mabegaa ooho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah, true... ndani ya CCM siku hizi hakuna wa kusema fyoko mbele ya Bashite na babake!
Huo ni ulevi wa madaraka.Katika watu wanaokula Raha Duniani, Mimi ni mmoja wao
Ndugai na Majaliwa - mmoja wao asubiri kuugulia maumivu tu endapo dogo atashinda ubunge.