BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana alikua anataka kulazimisha yard zote za magari ziamishiwe kigamboni na offer ya ardhi akatoa ila wauza magari wakasanuka jamaa anataka kuwaingiza chaka wakakataa offer 🤣🤣🤣Kigamboni huku wajinga tupo wengi....labda kamati kuu ifanye yake!! Maana jamaa analitembelea jimbo ucku na mchana.
chini ya awamu hii hiyo haijalishi ndugu!Kwani amesomea sheria ili awe spika au ni kufahamu tu kanuni
Nitashangaa sana iwapo mtu kama huyu atapitishwa. Hafai kabisa.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja,leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nye ,mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua,hao hao watu ndo anategemea wampitishe,wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao,na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Mda upo tusubiri.
Soma pia: Paul Makonda amejaa Kiburi na Uthubutu usiomithilika
Le mutuz kala tenda kubwa ya mabilioni kwenda Afrika ya kati na Nchi zingine kuchukua waganga wa kienyeji, wajanja wale madalali wa CCM watakula pesa zake zote mpaka wamfirisi kabsaNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja,leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nye ,mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua,hao hao watu ndo anategemea wampitishe,wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao,na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Mda upo tusubiri.
Soma pia: Paul Makonda amejaa Kiburi na Uthubutu usiomithilika
Licha ya kuahidiwa uwaziri bado hajiamini kaamua kumtuma Le mutuz kwenda kuleta waganga wa kienyeji wa kila ainaHawa wanacheza na akili zetu. Washamaliza mchezo. Makonda abajiandaa kuwa waziii
Ukitaka siri zote za Daud Bashite mtafute Le mutuz mpe Demo mrembo kisha mfundishe vya Kundadisi vizuri kwani Le mutuz huwa ni mdhaifu mbele ya wanawake ndiyo maana magufuli amegoma kumpa Teuzi zote,Hata siku moja usithubutu kuamini maneno ya Politician. Naishia hapa
Akina Le mutuz watamfanyia figisu figisu fitna za kila aina mpaka wamchuje abakie Daudi BashiteBashite hawezi mtoa Ndugulile
Hujui siasa wewe!Hiyo kauli Magu alisema na alirudi kwa msisitizo,Katibu wa ccm taifa naye leo kasisitiza pia,Polepole naye ameshasema sana na kurudia tena akiwa kigamboni na akamtaja kabisa.
Kwahiyo kila dalili inaonyesha huyu jamaa ngumu kupita
Mwenyekiti jana kasema hajamtuma mtu kugombea popote lakini ukweli amewatuma profesa Kabudi kule kilosa, waziri mpango kule kigoma, waziri jafo kisarawe akina 1982 Bashite na Gumbo amejidai kuwahadaa watanzania kuwa hayupo nao pamoja lakini kiundani yupo nao moyoni kwa 100%Usiyaamini maneno ya mwanasiasa hasa huyo mwanyekiti wao.