Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheti Cha kumaliza kidato Cha nne?Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Kumbe hiyo ndio Id yako mpyaKila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Brother hujisikii vibaya kusema "KILA MTU" alimkubali Makonda!! Sema wewe na vibaka, nyang'au, wezi, wadhulumaji haki, wauwaji, waonevu, wachonganishi, waongo, walaghai, walamba viatu, washenzi, wajivuni, wasujudu watu, matapeli Wenzio ndio mlimkubali. Hakuna wakati wowote DAR ilshakuwa na RC wa hovyo kama kipindi cha Makonda. Kama kakutuma umpigie debe, mwambie Anasubiriwa kuzimu na babake "mwendazake" ili wakazawadiwe walichopanda na ni jehanamu ya milele. Katupotezea ndugu zetu, wewe unasema ati aliinyoosha DAR!! Upandacho ndicho uvunacho. Mpelekee salamu.Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Umeandika takataka nyingi sanaKila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Kanyanganya mpaka wake za watu.Nenda bagamoyo road kuna ghorofa kubwa chini pana maduka mawili ya dawa na moja la kampuni ya simu,uliza la nani?kawabambikia kesi za uongo za madawa ya kulevya mpaka mbunge mmoja maarufu kutoka katika familia iliyowahi kuongoza nchi, huko china kumbe wachina wakabaini uwongo.Kwa nini kazuiwa kuingia Marekani na nchi kadhaa.jiulize kwa nini.Huyu ndie alimtukana Katibu mkuu wa sasa wa CCM. Mla rushwa mkubwa,kakosa maadili ya uongozi na dhuluma za wazi kwa wafanyabiashara,n.k Huyu kiufupi ilibidi atupwe Keko,bila ya kupelekwa mahakamani.Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Hearsay or?Kanyanganya mpaka wake za watu.Nenda bagamoyo road kuna ghorofa kubwa chini pana maduka mawili ya dawa na moja la kampuni ya simu,uliza la nani?kawabambikia kesi za uongo za madawa ya kulevya mpaka mbunge mmoja maarufu kutoka katika familia iliyowahi kuongoza nchi, huko china kumbe wachina wakabaini uwongo.Kwa nini kazuiwa kuingia Marekani na nchi kadhaa.jiulize kwa nini.Huyu ndie alimtukana Katibu mkuu wa sasa wa CCM. Mla rushwa mkubwa,kakosa maadili ya uongozi na dhuluma za wazi kwa wafanyabiashara,n.k Huyu kiufupi ilibidi atupwe Keko,bila ya kupelekwa mahakamani.
We, usimchongee kilaza huyo. Bora akae huko asahaulike maana ana shutuma nyingi hadi Marekani kumwekea zuio la kuingia nchini humo. Sakata la Clouds peke yake linatosha kumweka hatiani. Mwisho wa kuongozwa na vilaza ulikoma March 17. Mungu fundi!Nifundishe Kunyamaza Mungu!
Mzee siksi alimla sanaYule choko aliyechukua apartment fish market ili awe anatafunwa vzr, akifika anabadili plate number
Ushindwe na ulegee 😡Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Makonda aliichafua sana familia ya Msoga na wa Msoga wamesema wanamuachia MunguSio kwamba filimbi inatokea Msoga....
Tena ndiye aliye chochea Manji kushughulikiwa mpaka Yanga kupoteza mwelekeoLabda kama JK sio mshauri wa Mama huyo harudi kamwe kwenye game maana wahisani ( awamu 6) .....hawamtaki aliua watu wengi sana ...mikono yake ina damu
Alimpiga hadharani Waziri Mkuu msaaf Kaji Mkuu mstaaf Mzee wa Katiba babu wa wajuku mwenye watoto viongozi mpaka Mameya Huyu Bashite Makonda ni Mwanaharamu mkubwa hafai kabisa kwenye nchi ya watu wastaarabuKanyanganya mpaka wake za watu.Nenda bagamoyo road kuna ghorofa kubwa chini pana maduka mawili ya dawa na moja la kampuni ya simu,uliza la nani?kawabambikia kesi za uongo za madawa ya kulevya mpaka mbunge mmoja maarufu kutoka katika familia iliyowahi kuongoza nchi, huko china kumbe wachina wakabaini uwongo.Kwa nini kazuiwa kuingia Marekani na nchi kadhaa.jiulize kwa nini.Huyu ndie alimtukana Katibu mkuu wa sasa wa CCM. Mla rushwa mkubwa,kakosa maadili ya uongozi na dhuluma za wazi kwa wafanyabiashara,n.k Huyu kiufupi ilibidi atupwe Keko,bila ya kupelekwa mahakamani.
Makonda kashindwa shule, halafu kashindwa kujiongeza.Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika kabisa kana kwamba sio jembe linalofaaa.