Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Yes,
hilo liko bayana kabisa, japo anafaa, anaaminika na kukubalika sana pia katika majimbo mengine kadhaa humu nchini πŸ’

I wish him all the best...
Umeongea ukweli kabisa.utashangaa ma CHADEMA yanapinga ukweli huu.
 
acha nihama huku kawe kwa kina GENTAMYCINE nataka kuhamia kigamboni hapo gezaulole karibu na makao makuu mapya ya jimbo kuu katoliki la dar es salaam..
Bashite hawezi kuwa mbunge nimeshasema.
Cc Lucas Mwashambwa
 
Yaani unamsifia sana Makonda kuliko mmeo utaachika msambwanda si unajua vile wanaume tunawivu?
 
UKiachana na siasa za kijinga unazofanya. Unaweza kujadili hali ya elimu nchini?

Tupo ktk viwango gani kama Taifa?
 
Nilivyo ona neno kububujikwa na machozi nikaishia hapo hapo na kurud juu kuangalia author wa thread
 
Watu mlio karibu na Paul Makonda, mwambieni kwamba anapaswa ajiweke mbali Sana na masuala haya ya Siasa ili kusafisha Jina lake ambalo limechafuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…