Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Mungu atakutetea makonda
Mimi sikujui ila amini Mungu hawezi kukuacha ukaangamizwa
 
Nimekuelewa,Watu hawana akili kabisa.wanalipwa 5000 na mafisadi na wauza madawa ya kulevya kuenza chuki.
 
Ni kweli ulifanya mazuri na mema, pia ulifanya mabaya yanayofifisha mazuri yote, sasa tufanyaje? Ni kwa nini ulichanganya? Siku zote mabaya uvuma kuliko mema. Basi kwa kanuni hiyo wacha waseme babaya yako!
 
Bado hawajamuua tu
 
🤣🤣
 
Hakika nimeamini, kina kile ni kirefu sana

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ulipata faida gani kumshudia uongo wa namna hii?
 
Haya ssa karudi kwenye ukooo wa panda hao watu mkuuu usiwaaamini hata silu moja ni wezi na wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…