britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
hivi hujui hakuna nchi inayoitwa tanganyika kwa sasaSasa Jiwe ndiyo anataka kuvunja Katiba waziwazi......
Hakuna uwezekano, kwa mujibu wa Katiba, kama Rais anataka Tanganyika na makamu pia atoke Tanganyika
Bali ni takwa la Katiba ya nchi kuwa kama Rais anatoka Tanganyika ni lazima Makamu wake awe mzanzibari
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Ndugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?Za kuambiwa changanya na za kwako
By JK mtoto wa msoga Chalinze
Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoaNdugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?
Leo hii teja la unga linaweza kuwa Askofu Mkuu na bado watu wakaenda ibadani kama kawaida.
Kuna msemo moja wa busara unasema hivi "Never underestimate the power of stupid people in large groups" akimaanisha wajinga wakiamua kufanya kitu kwa pamoja hakuna kinachoweza kuwazuia hata siku moja.
HahahaSijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
Tanzani kila kitu kinawezekanaNdugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?
Leo hii teja la unga linaweza kuwa Askofu Mkuu na bado watu wakaenda ibadani kama kawaida.
Kuna msemo moja wa busara unasema hivi "Never underestimate the power of stupid people in large groups" akimaanisha wajinga wakiamua kufanya kitu kwa pamoja hakuna kinachoweza kuwazuia hata siku moja.
Never underestimate the power of stupid people in large groups.Ukisikia kuvuta bangi ndio huku. ulivyoshindwa hata kujibu tu haiwezekani. Kwa maana JPM atagombea hakuna mgombea yeyote kutoka bara anaweza kuwa makamu.
Pili kama magufuli hagombei hakuna mwingne mwenye mahaba na Makonda hivyo hakuna. Usijitoe ufahamu.
Jibu ni Hakuna na wala hana sifa hizo.
Naam, sikukatalii kabisa hili nalo linawezekana vizuri tu Tanzania.Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
Siyo kwamba kila kitu kinawezekana,ni lazima Magufuli aipasue Tanzania vipande vipande ili neno la unabii wa Mungu lipate kutimia.....Tanzani kila kitu kinawezekana