Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Kama aliweza kuwa RC hii ni Tanzania bwanaYaani huyu huyu Bashite zero brain forgeryer.
Kweli na wewe ni zero.
Ni hivi Bashite akisubutu tu akigombea ubunge yatamkuta ya bw. Kihiyo
Mbona viongozi wanavunja sana hiyo katiba yako unayozungumzia na hamna mtu wa kuwagusa?! Sembuse hiyo ya Bashite kuwa Vice President..Hivi hujui hata katiba inasemaje kuhusu rais na makamu wake wanatakiwa kutoka wapi ndani ya muungano???View attachment 918455
Mkuu britanicca,
Nikusaidie tu kwamba Mama Samia hawezi kuwa rais wa Zanzibar na hivyo ataendelea kuwa makamu wa Rais kwa mwaka tajwa.
Rais ajae wa Zanzibara ni Dr Hussein Ally Hassan Mwinyi.
Kuhusu Makonda huyu mwaka 2020 anakwenda kugombea ubunge kwao Misungwi na kuja kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani iwapo Rais Magufuli atarejea tena Ikulu baada ya uchaguzi ujao.
Inakiri hii comment leo Novemba 2 mwaka 2018 na sitaiedit hadi mwaka 2021.
Acha kuweweseka wewe kilaza hujui katiba.Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Wewe mtoto una umri gani?Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Ahahahahh eti teja la unga kuwa askofu. Ngoja waje utakoma; maana kama umesema ngwasuma vile!Ndugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?
Leo hii teja la unga linaweza kuwa Askofu Mkuu na bado watu wakaenda ibadani kama kawaida.
Kuna msemo moja wa busara unasema hivi "Never underestimate the power of stupid people in large groups" akimaanisha wajinga wakiamua kufanya kitu kwa pamoja hakuna kinachoweza kuwazuia hata siku moja.