Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh! Umewaza nini ndugu mpaka uandike hivi?Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Umewaza nini ndugu mpaka uandike hivi?Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
Makonda ni Mzanzibari ?Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Dunia duara kuna kitu inaitwa upepo ya kesho ni fumbo,Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Mtu mwerevu akikwambia jambo la kipumbavu na wewe unajua ni jambo la kipuuzi ila bado ukaendelea kuliamini, atakudharau maradufu -JK NyerereNikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwenu
Yaani rais awe membe alafu makamu makonda? Huwezi kuwa upo serious broHii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
UmenenaSiyo kwamba kila kitu kinawezekana,ni lazima Magufuli aipasue Tanzania vipande vipande ili neno la unabii wa Mungu lipate kutimia.....
Mawazo yako yamegongana na yangu ili mwaka 2025 makonda anapewa nchi!Mkuu britanicca,
Nikusaidie tu kwamba Mama Samia hawezi kuwa rais wa Zanzibar na hivyo ataendelea kuwa makamu wa Rais kwa mwaka tajwa.
Rais ajae wa Zanzibara ni Dr Hussein Ally Hassan Mwinyi.
Kuhusu Makonda huyu mwaka 2020 anakwenda kugombea ubunge kwao Misungwi na kuja kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani iwapo Rais Magufuli atarejea tena Ikulu baada ya uchaguzi ujao.
Inakiri hii comment leo Novemba 2 mwaka 2018 na sitaiedit hadi mwaka 2021.
Duh! Umewaza nini ndugu mpaka uandike hivi?Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
Hii tetesi lengo lake ni kutuambia kuwa mama Samia ndio atagombea kile ZanzibarHii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
Gemu utakuwa ile ile Rais Dkt JP, Makamu Mama Samia, Mh.Paul ataendelea na Dar es Salaam, pengine atahamia Dodoma au Mwanza endapo Rais atafanya mabadiliko.Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?
Ngoja tusubiri muda utasema
Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa
hahhahhahhahhahhahhahhah😀😀😀😀 Asemavyo umejua kunichekesha.Kwa samia kuwa mgombea zenji inawezekana ila kwa Makonda umebugi sana,
Yaan hii tetesi hata Magufuli atakuwa anaishangaa maana ataiona hapa JF haha, itamfanya ayaache mafaili yanayomzonga kitandani kwanza aitafakari
Nimeshangaa kuona mtu ameshindwa kuona hata mambo madogo kama hayo!! Yaani hata vifungu muhimu vya katiba yetu watu ni kama hawavijui!Daaah kwahiyo watabadilisha katiba kipengele cha umri ?
Halafu unamaanisha Raisi atatoka Zanzibari mwaka 2020 ?
Makamu wa Raisi atakuwa na miaka 38. Sikupingi kabisa, lolote linawezekana Tanzania.