Hahahaha, daah siku ukiibiwa ule kuna watu wanaweza kufa.
HAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAA!! Yaani umenipa bonge la tv script idea! Wallah tena, hivi una habari kuibiwa kwa Mwenge wa Uhuru na kutojulikana ni wapi ulipo ni bonge la story kuliko BoT Robbery?!
Najua Bodi ya Filamu wanaweza kuleta fitina but still it's a worthy story to write!
Who stole the Uhuru Torch?
Where is it hidden?
Why did he (they) still it?
How did he (they) still it?
Who're the prime suspects?
Is it just a crime like any other crime or a sabotage?
Are there any other people and/or probably organisations behind the crime/sabotage?
Who're they and why are they involved?
Any possible international involvement?
When was it stolen? Jibu: Siku moja kabla ya kuwashwa na kuanza kukimbizwa
Was it a mere coincidence that it's stolen in the last minute before it's launched or the perpetrators have a reason?
Dah! Maswali yanayohitaji kujibika ni mengi mno kiasi kwamba, kuibiwa kwake hakupaswi kutengenezea movie bali full season series!!
And what if during the hunt, serikali ya Magu inaanza kushika uchawi watu na taasisi mbalimbali! First suspect, CHADEMA tu hao manake kila siku walikuwa wanaupinga Mwenge wa Uhuru! Mara oh, mataifa ya nje yanayotuonea kijicho umoja na mshikamano wetu ndio wamehusika! Mara kaiba huyu; mara wale kabla hatimae haijafahamika kumbe ni Mateja tu ndio waliiukwiba mwenge wetu ili eti wakauze kama chuma chakavu!!