Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.
Vingine ukiambiwa uwe unapotezea tu maana havina Hata chembe ya uwezekano...

Guys kuna vitu huwa wanasema vina happen ONLY IN TANZANIA!
Makonda kuwa Makamu wa Rais inawezekana kabisa…! Kwa awamu hii tuna Makamu toka Visiwani hivo Awamu ijayo Makamu lazima atatoka Bara na very likely akawa huyo Bashite!
 
Japo uhakika ni Samia kugombea zenji , ila ya makonda bado naitafakari
Jr[emoji769]
 
KWELI WEWE NI LOFA WA MTIMBWILIMBWI AU LUPWIPWI KWANI RAIS ALIPOKATAZA SIASA SIKU CHACHE BAADAYA KUCHAGULIWA NA AKASEMA HADI 2020 NA SHERIA IKASIMAMIWA NA VYOMBO VYA DORA HIYO KATIBA ILIKUWA WAPI? HIVI KWA AKILI YAKO KUNA KATIBA CHINI YA JPM?
 
KWELI WEWE NI LOFA WA MTIMBWILIMBWI AU LUPWIPWI KWANI RAIS ALIPOKATAZA SIASA SIKU CHACHE BAADAYA KUCHAGULIWA NA AKASEMA HADI 2020 NA SHERIA IKASIMAMIWA NA VYOMBO VYA DORA HIYO KATIBA ILIKUWA WAPI? HIVI KWA AKILI YAKO KUNA KATIBA CHINI YA JPM?
Kitu unatakiwa ushukuru Mungu tangu kuanza kwa 2020, kwanza ni wewe kuwa hai na pili ni kupata fursa ya kujibiwa na mimi hapa jukwaani.

Kajifunze kwanza tofauti ya 'R' na 'L' ndio uje kujibu michango yangu mimi 'lofa' hapa jukwaani.
 
Awezi kuwa. Kwa sababu Poul ni Mtanganyika na anatakiwa awe mzanzibari. Mh Mwinyi (MoD) anaweza kuwa VP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika itapendeza
 
Kwa samia kuwa mgombea zenji inawezekana ila kwa Makonda umebugi sana,

Yaan hii tetesi hata Magufuli atakuwa anaishangaa maana ataiona hapa JF haha, itamfanya ayaache mafaili yanayomzonga kitandani kwanza aitafakari
Magufuli hamnazo sana yule msukuma, ndo kwaaanza anasema kimoyoni, ''inawezekana'' yaani tunampa akili. msipotaka ndiyo yeye ana kwenda.

Anasemaga hivi ''mtaipenda tu, msipoipenda mtapata taabu sana''
 
😂
 
Duuh siku hazigandi, ngoja tusubiri mtanange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona waislamu hawaandamani km kipindi cha KIkwete? walikuwa wana mdharau mwenzao au?
 
Mkuu Chige Muungano unalindwa kwa gharama yoyote kwani ndiyo chimbuko halisi la CCM. Muungano ulianza kama wazo la watu wawili halafu vyama vikaunganishwa TANU na AFRO-SHIRAZI kuipata CCM. Kwa hiyo Muungano ndiyo nguzo ya CCM ndiyo maana unalindwa kwa gharama yoyote.
Hata Rais anaweza kufanya chochote lakini siyo kuugusa Muungano. Ndiyo maana mwanzoni mwa utawala wa JPM neno kuulinda muungano halikumwisha.
Kuhusu utawala ni kuwa Mama Samia anapangwa kwenda Zenji ijapokuwa aliwahi kung'aka na kusema hawezi kuwa namba 3 lakini ile ilikuwa hamaki tu, baada ya muda ataelewa..
Bara anapangwa kuletwa Hussein Mwinyi kwani kidogo ni mtu asiye na 'ambitions' sana, si rahisi kumfunika Rais aliyeko madarakani na ni rahisi kutumika kwa niaba ya 'ruling elites'..
"The Suprise Party' wa 2025 bado yuko kwenye 'shelf' kwani miaka 5 ni mingi huwezi kujua, maamuzi yanaweza kufanyika ku-'adopt' BBI kama Kenya ili kumpa nafasi Rais amalizie miradi aliyoianzisha..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…