Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.
Mashabiki wa DAB mna tabu sana.. Mnateseka sana
 
Itakuwa hivi:
  1. Makamu wa Rais atatoka Zanzibar
  2. Waziri Mkuu Tulia Ackson (ndio maana anatafuta jimbo. Katiba inasema waziri mkuu lazima awe mbunge wa jimbo)
  3. Makonda na wengine mtawasikia kwengine huko
 
Katiba inasemaje?
 
Mnafikiri Tanzania imekuwa kichwa cha mwenda wazimu - kujifunzia kunyoa eee!!
 
Kwa samia kuwa mgombea zenji inawezekana ila kwa Makonda umebugi sana,

Yaan hii tetesi hata Magufuli atakuwa anaishangaa maana ataiona hapa JF haha, itamfanya ayaache mafaili yanayomzonga kitandani kwanza aitafakari
Duh
 
 
Kuna nyzi zilizotabiri juu ya mama samia ,kifo cha magu, zilipuuzwa mwanxo lkn sasa zimefukuliwa zikiwa zimetimia

Hata huu utabiri si puuzi maana kila kitu sasa kipo wazi
 
Back mkutano mkuu wa katiba pendekezwa ya Jaji Warioba.
Paul Makonda aliwaomba wajumbe wa mkutano huo Kama ikiwapendeza mama awe makamu wa Rais ikiwa basi na sisi wafwasi wakwasi wakeleketwa wa mkutano mkuu wa kikao Cha wafugaji yaani wachunga ngombe wa ukanda wa maziwa makuu kuanzia Tanzania,Kenya,Burundi,Rwanda tuiongeze Drc na Sudani kusini twaomba Kama ikiwapendeza ndugu yetu huyo apewe umakamo ili baadaye akabidhiwe kabisa kitu chetu ili ile agenda ya Bahima empire zidumu idumu kushikwa na kushikwa maana ndiyo hasa lengo.
IN GOD WE TRUST
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…