Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa bora wa wakati wote

Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa bora wa wakati wote

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Povu rukhsa!

Nikiri tu kuwa mimi ni muumini wa mtu yeyote anayetumia akili yake vizuri.

Makonda anajitofautisha sana na viongozi wengine hapa nchini. Yeye ni mchapa kazi na mbunifu sana.

kwa sasa mkoa ambao una mkuu wa mkoa makini ni Arusha tu.

Tunawaomba viongozi wengine wafanye kazi kwa bidii ili kuleta maendeleo kwa wananchi.

Hongera sana Makonda
 
Makonda zimwi kubwa sana kila linapopita linaacha alama, kila linapoenda watu tunalifurahia, mzee wa amsha amsha fufua fufua etc.

Serikal imtunze sana.
 
Simpendi sana lakini Arusha huko kidogo amekaa kwa adabu sio kama alivyokuwa muenezi wa madude ya ccm au mkuu wa mkoa wa dar
 
Povu rukhsa!

Nikiri tu kuwa mimi ni muumini wa mtu yeyote anayetumia akili yake vizuri.

Makonda anajitofautisha sana na viongozi wengine hapa nchini. Yeye ni mchapa kazi na mbunifu sana.

kwa sasa mkoa ambao una mkuu wa mkoa makini ni Arusha tu.

Tunawaomba viongozi wengine wafanye kazi kwa bidii ili kuleta maendeleo kwa wananchi.

Hongera sana Makonda

..Ni mzuri wa kufanya matukio, na sio kazi zinazoboresha maisha ya wananchi.
 
Kesho nakuja huko,naangalia namna ya kukutana nae tubadilishane ma2 ma3
 
Back
Top Bottom